Gurumo

Status
Not open for further replies.

wabongo kwa uzushi....... kuna siku mtu atakuja haa na kusema mungu kaonekana brake point anakunywa supu au yesu kaiba wallet posta mpya, si ajabu tukaambiwa mtume S.A.W yupo marangu anasimamia hoteli

tumezidi wabongo kwa uvuvuzela
 

Asante sana kwa kututoa hofu mkuu.. roho zilikwisha anza kwenda mbio.. tumwombee kwa Mungu apone...
 
safi sana hili ni jambo baya sana kumzushia mtu kifo plz nami nasisitiza pia ni bora kuweka habari zilizohakikiwa na sio udaku wa mitaani haipendeze na ni dhambi kwa mwenyezi mungu maana hata mhusika akisikia JF tumemzushia kifo haipendezi mnatushushia P yetu
 
jamani habari za kifo ziwe zinaletwa zikiwa za uhakika....hii habari ya kuletwa nusu nusu huwa inatutatiza jamani....kama ni tetesi baki nayo ukithibitisha ndio uilete.....mnatuweka roho juu juu
 
Huu ni mfano mmoja wapo tu ni namna gani JF kuna watu huwa wanazusha mambo? Hii ni kuanzia kwenye siasa na kwingineko. Nani anayeweza kuamini habari tata inayohusu CCM, CHADEMA au CUF au hata wanasiasa km Zitto, Mbowe na Kikwete?
 
Nakupongeza kwa kufanya utafiti wa kutaka kuujua ukweli kuhusu GURUMO.
 
wabongo wanapenda kutangazia vifo aisee, ukipotea ukumbini wiki mbili tu unakuta ujumbe kwenye PM yako "rest in peace" , ndio kama huyu mzembe hapa analeta tetesi za vifo. MOD ondoa hili sredi kabla sijaloga mtu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…