Right wing nuts hawakubali,wanasema guns dont kill people,people do kill people.Haya mambo ya assault weapon inabidi yaangaliwe upya.
Kaua na baba yake mzaziHuyu Khabithi, Ryan Lanza, kumbe kamuua mama yake mzazi. Duh, namuona hata Rais Obama (Commenderi-in Chief)anatowa machozi. Sio mchezo.
Mkuu idadi imeshabadilishwa,ni close to 30 are killed,mostly children(18 to 20)who are btn the age of 5 and 10...Very sad yani.(CNN) -- Nearly 20 people died Friday in a school shooting in Newtown Connecticut, a law enforcement source with knowledge of the investigation told CNN.
Connecticut school shooting claims nearly 30 lives, source says - CNN.com
Right wing nuts hawakubali,wanasema guns dont kill people,people do kill people.
Lakini ukweli ni kwamba people kill people with guns.Na hivyo madhara ya kutumia assault riffles ni makubwa zaidi.
Ila tatizo lilipofikia sijui kama wata lisolve vipi,guns ni kama culture ya wamarekani.Na ukishakuwa nayo(most of them have),hutopenda mtu akunyang'anye.
kweli kabisa utakuta mzee anampa mwanawe wa kiume wa miaka 8 gun ili aanze kujifunza ku shoot by the time anamiaka 18 ni marksmanship mzuri sana. Tatizo ni kuwa wamarekani hawana maadili kitu ambacho kinakuja kuleta madhara kama haya.Ila tatizo lilipofikia sijui kama wata lisolve vipi,guns ni kama culture ya wamarekani.Na ukishakuwa nayo(most of them have),hutopenda mtu akunyang'anye.
Wanaanzia kwenye kuwinda,kuna makala moja kwenye magazine niliiona mtoto wa miaka 8 kapiga picha akiwa amepose na "buck",na baba yake akiwa pembeni akimsifia ,kwamba ndiye aliyemwua mnyama huyo,tena akasema kwa mara ya kwanza alimwua akiwa na miaka 6.Hao bucks wako kama swala ama digidigi.Ni culture yao.Hawa NRA wao wanachoangalia ni faida tuu kwa kisingizio cha 2nd amendement.
kweli kabisa utakuta mzee anampa mwanawe wa kiume wa miaka 8 gun ili aanze kujifunza ku shoot by the time anamiaka 18 ni marksmanship mzuri sana.
Wanaanzia kwenye kuwinda,kuna makala moja kwenye magazine niliiona mtoto wa miaka 8 kapiga picha akiwa amepose na "buck",na baba yake akiwa pembeni akimsifia ,kwamba ndiye aliyemwua mnyama huyo,tena akasema kwa mara ya kwanza alimwua akiwa na miaka 6.Hao bucks wako kama swala ama digidigi.Ni culture yao.
Obama naona amesema kwenye statement yake kuwa something must be done kwasababu haya yameshatokea sana.Na akasema ni wakati wa kuacha politics.
Lakini tena huyu gavana wa Connencticut na yeye katoka kuongea,anadai hili ni jambo ambalo lisingeweza kuzuiliwa,ukisoma btn the lines,kama huyo gov ni republican,basi usishangae ilikuwa ni kijembe cha kisiasa,kama kumjibu Obama kiaina.
NRA wanatengeza pesa kwa kuwa feed watu huu ujinga na jamaa wameuza sana bunduki kipindi cha kwanza cha obama kuliko vipindi vyote viwili vya Bush na kutokana na statement ya obama leo NRA wataanza kuwatisha memba wao kuwa Obama atazichukua gun zao.Kiukweli watu ndiyo wanauwa watu,lakini inategemeana na silaha,silaha anayoitumia muuwaji inamatter pale inapokuja kwenye magnitude ya madhara hayo
It won't make sense to ban gun ownership in the US while there are already millions of illegal weapons in the streets. Gun ownership is relevant for self defense. What bothers me is the legalization to own these scary and dangerous assault weapons like M16, LR3000, AK47 etc
Why is it so hard for you to conceptualize the fact that a gun is different than a knife or a rock, all which have the capacity to kill.
actually.... a sword would be considered as an illegal weapon possession if you are carrying it around in the street..... the reason why swords don't get as much as a bad rep is because to date there have been zero incidences with angry ninja showing up at recess to attack children....It takes a lot to kill someone with a knife or a baseball bat but with a gun all you need is to pull a trigger.
actually.... a sword would be considered as an illegal weapon possession if you are carrying it around in the street..... the reason why swords don't get as much as a bad rep is because to date there have been zero incidences with angry ninja showing up at recess to attack children....