Gunfire heard at DR Congo state TV

Gunfire heard at DR Congo state TV

Duh! hii hatari. Ina maana wanataka wampindue kijana wetu? Watanzania tumsaidie huyu kijana.
 
the country goes up in flames for a fourth consecutive spell!!

congolese...... what went amiss with your mind?!!!

you are totally wicked.......
 
Wacha wamtimulie mbali huyu bwana mdogo Kabila. Amekuwa legelege mno kwani hata kujiimarishia ulinzi wake mwenyewe pale Kinshasa (wachilia mbali huko mashariki Goma) pia anashindwa. Yaani yupo pale DRC kama mtawala TX hivi (yaani kama dezaini ya mwakilishi wa malkia au mfalme hivi kama Governor Twinning vile🙂.
Wacongoman wanadai kazi kubwa ya kabila na familia yake ni kui fisadi nchi na kuhamishia kila kitu nje ya nchi kama vile siku moja atakuwa hayupo kabisa. Wanasema moyoni hana maslahi ya DRC. Wenyewe Wacongo wanadai pesa na investment yake kubwa anaifanyia Tanzania.
 
Nina wasiwasi kama Airbase Za Lubumbashi na Kinshasa hazitawekwa tahadhari kuna hatari ya Coup d'tat kufanikiwa.

Kama MONUSCO haijawa Blocked huko Goma na kufungua War Front hali itakua tete .Maana hii ni Ambush
Nanusa hisia za kagame kwa mbaaaaaaaali
 
Wamesha wa eliminate/ 40 na wengine wamekamatwa
 
Utaanza kusika eti ni Kagame


Hakuna anayedhani hivyo. Hiki kikundi kinampinga J. Kabila kwa vile kinaona kuwa anawabeba wanyarwanda kama kitendo cha kuwakaribisha nyie M23 na kuwakubalia kuwapa nyadhifa na kuwaingiza jeshini wakati wao walikuwa wakitegemea kuwa raisi wao atawatokomeza na kuwashitaki kwa uhalifu wa kivita. Na pia kama ulivyosikia kuna uwezekano mkubwa kuwa wavamizi hawa wanaweza kuwa wamekasirishwa na kitendo cha hivi karibuni cha raisi kabila cha kumwondoa mkuu wa jeshi la polisi nchini DRC aliyekuwa akipendwa sana (John Numbi) na kwenye nafasi hiyo akawekwa mtu wanayemdhania kuwa ni mnyarwanda ambaye anaitwa Charles Bisengimana, ambaye ni wa kabila la watutsi. Sasa kwa hali hii ukijumlisha na uvumi kuwa josesph kabila ana asili ya Rwanda kwa wazazi wote wawili vinawasababishia maswali mengi kuliko majibu.
 
Back
Top Bottom