Gunfire and Bombs explode in Kigali

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
15,935
Reaction score
20,229
Gunfire, Bomb Explosions Reported in Kigali
Monday, 8 March 2010
Automatic gunfire and bomb blasts have been reported in the Rwandan capital Kigali in the past few hours!

Nobody has claimed responsibility yet and 256news is getting information only from scattered sources!

Our Kigali-based reporter Godwin Agaba went missing two days ago and so ita has been hard for us to obtain first hand information.

Tensions have been rising in Kigali of late following the fleeing of a top military General Kayumba Nyamwasa through Uganda!

We will keep you updated
 
Akina nani hao wanataka kuharibu tena?
 
Kumbe zile akili za kibanyamulenge bado zipo kule.

East African Community bado kuna kazi
 
kagame kawageuka wenzake, yale yale, labda anatakiwa aende tuition kwa Baba M7 ajifunze alifanya nini??
 
Mmmh! Hii kiboko. Si ndo alikuwa anajisifu kukikuza nchi? Au?
Kayumnba huyo na udumishaj wa democrasia. Si jamaa alikua hana mawazo ya kuondoka kwenye power?
 
kagame kawageuka wenzake, yale yale, labda anatakiwa aende tuition kwa Baba M7 ajifunze alifanya nini??
na mwenyewe yupo uk kwa mabosi wake kujipendekeza ni hapo atake kurudi aambiwe kaa hukohuko nji si yako tena.
 
Mhh hii vita sijui kama itaisha sema ilikuwa imepoa tu
 
Its April Again!! Genocide ya kwanza ilitokea April. Sasa wasije kuwa wana mkosi na April hawa jamaa. Mungu waepushe na maafa waja wako.
 
I think it is just another power struggle within the RPF.
 
Niaibu kwa kingozi aliye pewa sifa kede kede kwa ujenzi wa nchi.



Naona wameamua kukamata aliyekuwa mke wa Juvenal Habyarimana.
mke wa habyarimana,mwandishi wa zamani wa kagame mwenyewe na RPF yake amedakwa,mwandishi mwingine wa kwanza kuripoti km kayumba yupo S.A kapotea hajulikani alipo,balozi wa nertherland kajiuzuru kaenda kuomba ukimbizi romania,kaka yake na kayumba naye kawekwa ndani sababu kayumba aliacha gari kwake alipokimbia,familia nzima ya gen,. kayumba iko under house arrest india kwa oda ya mkubwa(kagame), balozi aliyeteuliwa kuwakilisha rwanda U.K. last wiki naye alidakwa kabla hajaondoka akawekwa ndani kwa muda kisha akatolewa na kuvuliwa ubalozi palepale,kisa aliongea na kayumba kabla hajakimbia,halafu mkulu ndio kwanza yuko U.K anapandisha bendera ya rwanda commonwealth,na huko atakutana na maandamano,siasa ya jirani zetu hapo kaaaaz kwel,kwel.ni kuwaombea tu isifumuke vita tena
 

Hizi habari zinatisha na kuogopesha.

Huyu Kagame ni hatari. Yaani kila mtu aliye na uhusiano na Kayumba lazima apate mushkeri.

Huyu kayumba inaonekana anamjuwa vizuiri sana Kagame, kiasi cha kuwa hatari kwa maisha ya Kagame..
 

Kamata kamata hiyo, sana sana ataibua vita tu
 
I think we need to slow down on that EA thing. We might find our self in some crazy $%^!!
 
Ndio wanyamlenge hao tunawaleta EAC. Bado wasomali. Ukiwachanganya hao na wakenya sipati picha bunge lao likikaa hali inakuwaje. Tanzania watabaki watazamaji tu wakipamuaa midomo eti hawaamini kinachotakiwa.
 
Kagame hana leadership succession plan na naona hajui kitu kinaitwa kusamehe. Kama ataendelea kujaribu kuzima midomo ya wanyarwanda isiwe inasema lolote basi ategemee political instability.
 
Kagame hana leadership succession plan na naona hajui kitu kinaitwa kusamehe. Kama ataendelea kujaribu kuzima midomo ya wanyarwanda isiwe inasema lolote basi ategemee political instability.

Kagame nchi ilishatulia, lakini kisasi kitaipoteza nchi yake na machafuko kuanza. Tatizo huyu jamaa kitu kilichomshinda ni kutambua mauaji yaliyofuata baada ya kuuliwa kwa Juvénal Habyarimana and Cyprien Ntaryamira mwaka 1994 kuwa pia kuna Wahutu waliuawa, ni kweli wengi waliouawa ni Watusi. Lakini yeye analipiza kisasi kushughulikia waliouwa Watusi tu.

Pia naye mwenyewe na RPF wao ndio wanasemekana waliangusha ndege iliyoua hao maRais wawili. Ufaransa na Jaji wao walipotaka kumkalia kooni akavunja uhusiano.

Lakini kumbu kumbu zinaonesha, kabla ya mauaji ya mwaka 1994 na kabla ya ndege iliyowabeba maRais wawili haijaangushwa. Kulikuwa na ulipuaji kama huu wa mabomu. Na haikuweza kujulikana ni nani alikuwa anatega, RPF wakisingizia ni Rais Habyarimana na watu wake wanayatega kwa makusudi ili wapate kuihujumu RPF. Na Serikali ya Habyarimana ikisema ni RPF ndio wanatega mabomu. Hivyo mabomu haya sijui ndugu zetu wanaelekea wapi?.
 
Kagame hana leadership succession plan na naona hajui kitu kinaitwa kusamehe. Kama ataendelea kujaribu kuzima midomo ya wanyarwanda isiwe inasema lolote basi ategemee political instability.

Kusamehe ni VERY VERY difficult mkuu kwenye situation ya rwanda. Nimekuwa nikifuatilia kwa karivu issues zao.... inaonekana yale mauaji ya 50s and 94 yameacha visasi vya damuni. Wanahitaji extraordinary situation/mkakati kwa wao kusameheana.


Pahala pa gumu ndo hapo... well watusi waliuawa sana, vile vile wahutu waliuawa. Lakini ukimuuliza Kagame anakuambia kama kuna muhutu aliyeuawa basi ilikua ni katika harakati za kuokoa watusi ambao walikuwa meant for total extermination.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…