Kuna kipindi computer yako inakuwa imejaa sana na inakuwa ngumu kujua ni vitu gani vimejaza hard disk yako, Cha kufanya download program hii hapa
ukiifungua chagua disk iliyojaa, the n subiri itafute na kuyapanga vizuri mafile yako yote ya computer ili uweze kuona vizuri ni kitu gani hasa kinajaza pc yako,ikimaliza waweza kuona ni kitu gani kinajaza pc kwa kuangalia ukubwa wa mabox ambayo kadri file linavokuwa kubwa ndivyo box lake linakuwa kubwa.