Gundua Kajambo Hapa!!

Ingekuwa bongo kila mtu angetaka kwenda kushikana mikono na wachezaji!
 
Ujerumani imeshinda ubingwa katika miaka inayogawanyika kamili
 
Michuano yote ya kombe la Dunia inafanyika miaka inayogawika kwa mbili. Ishu hapo ni miaka yenye 4 mbele iliyokuwa na neema kwao, kasoro mwaka 1990 tu
 
Ujerumani wanalindwa kwa kuwahujumu brasil kwenye uwanja wao
 
Ujerumani imeshinda ubingwa katika miaka inayogawanyika kamili

1954
1974
1990
2014

BAADA YA MIAKA 20 WALITWAA KOMBE,TENA IKAPITA MIAKA 16 WAKTWAA,JUZI IMETOKEA BAADA YA MIAKA 14.KWA MANTIKI HIYO BAADA YA MIAKA 12 IJAYO YAAN 2026 WATAKUWA MABINGWA TENA WA DUNIA

:llama:
 
check tena, it should be 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…