Guidlines: Pregnancy vs Flight

Konnie habari yako haina mushkeli wowote...

Mimba ya mtoto mmoja na isiyo na complications:
Kuna medical guidelines za IATA zinazowaruhusu wajawazito kusafiri kwa ndege kwa ujauzito usiozidi wiki 36 na wa mahesabu haya ya muda hutumia kigezo cha ESD 'Estimated Date of Delivery'.

Isipokuwa zaidi ya wiki 28, mama mjamzito anapaswa kuwa na vipimo kutoka kwa daktari mwenye uzoefu na safari za anga kwa mama wajawazito za kumruhusu kusafiri.

Mimba ya zaidi ya mtoto mmoja na isiyo na complications:
Medical guidelines za IATA zinazowaruhusu wajawazito wa namna hii kusafiri kwa ndege kwa ujauzito usiozidi wiki 32.

Isipokuwa zaidi ya wiki 28, mama mjamzito anapaswa kuwa na vipimo kutoka kwa daktari mwenye uzoefu na safari za anga kwa mama wajawazito za kumruhusu kusafiri.

Mwanamke aliyepatwa na miscarriage wakati au kabla ya safari, haruhusiwi kusafiri hadi atibiwe na masaa 24 yawe yamepita.

Ukiacha na haya kuna guidelines nyingine za idadi ya masaa ambayo mjamzito anapaswa kusafiri angani, special treatments n.k

Pia mashirika mbalimbali ya ndege hutofautiana masharti ya namna ya kuwahudumia wajawazito na ruksa za kumfanya wasafiri.

References:
IATA Medical Guidelines: http://www.iata.org/whatwedo/safety/health/Documents/medical-manual-2013.pdf

Masharti ya Mashirika Mbalimbali ya Ndege: Airline policies for pregnant women | Gurgle.com

nimekuita kama tbs, dr gugo haaminiki ukizingatia mie fundi mchundo.
 
aiseee
lugha ya malaika ngumu kwangu
 
asante kwa somo thou challenge inakuja pale kwenye hizi local flights incase of emergency kama anaweza kusaidika?another thing some pregnancy woman wana fake weeks of the pregnancy ili tu aweze kusafiri safari yake of which ni risk sana.
 
okay, sikua najua.

Hivi kweli wapo waliowahi kupata madhara kwa.kusafiri na ndege baada ya hiyo miezi 7?

Na kwa nini miezi 7?

Kama unajua lakini.

kuna mdada aliwahi kujifungua kwenye ndege nimesahau ilitokea wapi so lazima wachukue tahadhari ila yule dada na mwanae alisaidiwa then baada ya ndege kutua ndo akawahishwa hospitali
 
Nilikuwa sifahamu hii. Long Live JF,Long Live Members of JF..
 
Kongosho zombie keshafanya yake nini???

But asante kwa useful post ai see...... nitauhitaji soon
 
Last edited by a moderator:
Asprin wetu kafikia menopozi, anatutagisha mayai ya kukaanga tu. Elimu ya bure tu hii.

Watu8, asante kwa nyongeza.

Kongosho zombie keshafanya yake nini???

But asante kwa useful post ai see...... nitauhitaji soon
 
Last edited by a moderator:
Hili ni kweli kabisa lakini siku hizi wadada ambao wanataka kwenda kujifungulia watoto wao majuu ili kupata uraia wa huko, huficha ujauzito kwa kuvaa madera na hivyo kutostukiwa na balozi husika wanapoenda kuomba visa katika balozi mbali mbali za nchi za nje hapa nchini. Na wengi huwa hawastukiwi kama ni wajawazito hivyo husafiri hata wakiwa na mimba ya miezi 7 mpaka nane huku wakijua ni hatari kwa uhai wao na watoto wao watarajiwa.

hii ni standard ya avition industry mimba ikifika 7 months huruhusiwi kusafiri bila kibal cha daktar. hakuna ndege inayokwepa hii sheria
 
Asante kwa somo zuri Kongosho,hii nilikuwa siijui.
 
Last edited by a moderator:
asante kwa somo thou challenge inakuja pale kwenye hizi local flights incase of emergency kama anaweza kusaidika?another thing some pregnancy woman wana fake weeks of the pregnancy ili tu aweze kusafiri safari yake of which ni risk sana.
Hii nimefanya sana(am not proud of it though)
Kongosho asante kwa topic.
 
Hii nimefanya sana(am not proud of it though)
Kongosho asante kwa topic.

lolest.....haupo pekee yako,mpo wengi mnaofanya hivyo tena mlio na matumbo mazuri kitu kina miezi nane ila utasema miezi mitano,ila usirudie tena it's very risk.
 
okay, sikua najua.

Hivi kweli wapo waliowahi kupata madhara kwa.kusafiri na ndege baada ya hiyo miezi 7?

Na kwa nini miezi 7?

Kama unajua lakini.

madaktari husema ujauzito ukishafikisha miezi 7 kuna uwezekano wa mama kujifungua muda wowote,ndio maana hupendekeza kutosafiri
 
....dokta wa mifugo EMT wanaweza kufafanua zaidi.

Baadhi ya guidelines za kusafirisha wanyama hasa wale wajawazito. Guidelines hizi zina-apply pia kwa wale wanaosafirisha wanyamba kama twiga kupitia njia ya anga.

Guidelines hizi hazi-apply kwa wafugaji wanasafirisha mifugo (kwa kutumia usafiri wao binafsi) kama mifugi hiyo hiyo inasafirishwa umbali usiozidi kilomita 50.

Hata hivyo, bado kuna taratibu maalum ambazo wafugaji wanatakiwa kuzizingatia kabla na wakati wakisafirisha mifugo yao hata kama umbali hauzidi kilomita 50. Hizi ni pamoja na kuhakikisha kuwa mifugo hiyo iko fit kusafirishwa.

Taratibu zinazohusiana na fitines ya kusafirishwa haziruhusu mnyama anayekaribia kuzaa (heavily pregnant) kusafirishwa. Hata hivyo, mfugaji anaruhusiwa kumsafirishwa mnyama huyo kwa umbali usiozidi kilomita 50 kama sababu za kumsafirisha ni kumwezasha mnyama huyo kuzaa katika mazingira mazuri kwa ajili ya afya ya kichanga. Usafirishaji huo usimpe mnyama huyo maumizi yasiyo ya lazima.

  • Wanaosafirisha wanyama lazima wawe wamekuwa trained na wanajua wanachokifanya.
  • Kifaa kinachotumika kumbeba mnyama lazima kiwe kimetengenezwa vizuri ili kuepuka kusababisha madhara kwa mnyama na kitoto chake tumboni.
  • Mnyama alishwe na anyeshwe wakati wa safari.
  • Wakati wa safari lazima mnyama apewe mapunziko ya kutosha.
  • Ng'ombe lazima wasafirishwe tofauti na mifugo wengine. Siyo una-mix kondoo, mbuzi, na ng'ombe humu humo.
  • Mifugo jike lazima watenganishwe na mifugo dume.
  • Wenye pembe lazima watenganishwe na wasio na pembe.
  • Chombo cha usafirisha kisiwe na joto la chini ya zero c centigrade kama safari ni zaidi ya masaa nane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…