Guidebook hiyoooo

Guidebook hiyoooo

Nifanye nini ili vyuo vyangu vitimie vitano kwa sababu ninampango wa kuchagua udsm,duce,udom,muce sasa hapo kimepelea kimoja na mimi nataka viwe vya serikali vyote naombeni msaada
 
Kwani lazima uchague serikali mkuu c utapewa mkopo uoga wa nn,???
 
Back
Top Bottom