Tafadhali mnielimishe. Hivi jamani, 3.5 GPA kuipata ni rahisi au ni kazi kubwa kwenye diploma. Namaanisha at least kila somo upate grade ipi ili uweze kupata 3.5.Habarini
hatimae TCU wametoa guide book imetokwa kwa waombaji wa diploma kwenda Degree
http://cas.tcu.go.tz/assets/images/Undergraduate_Admission_Guidebook_Equivalent_Applicants.pdf
Ile ile 3.5 Or Average Of B+vigezo vikoje GPa ya ngap wmesema
GPA 3.5 kuipata ni maamuzi yako tu si rahisi wala si kazi kubwa kwenye diploma.Tafadhali mnielimishe. Hivi jamani, 3.5 GPA kuipata ni rahisi au ni kazi kubwa kwenye diploma. Namaanisha at least kila somo upate grade ipi ili uweze kupata 3.5.
vigezo vikoje GPa ya ngap wmesema
i) At least a GPA of 3.5 for Ordinary Diploma (NTA Level 6);Ile ile 3.5 Or Average Of B+
Hizo grades zinaanzia marks ngapi katika diploma. Nasema hivyo maana kwa mfumo wa sasa wa form six, kupata A itakuwa kazi ngumu! 80+ na mama Ndalichako hakutakuwa na maswali marahisi kama ya Big Results Now (BRN)GPA 3.5 kuipata ni maamuzi yako tu si rahisi wala si kazi kubwa kwenye diploma.
kila somo upate B, B, ZA Kutosha na B+ B+ za kkutosha pamoja A, A, A Za kutosha.
i) At least a GPA of 3.5 for Ordinary Diploma (NTA Level 6);
OR
ii) Average of B for Full Technician Certificate (FTC) (where A=5, B=4, C=3, and D=2 points);
OR
iii) Average of „B+ ‟ Grade for Diploma in Teacher Education;
OR
iv) Average of „B+ ‟ Grade for Health related awards such as Clinical Medicine and others;
OR
v) A Distinction for unclassified diplomas and certificates.
vi) Upper Second Class for classified non-NTA diplomas.
Kila chuo kina point zake wewe tafuta za chuo chako wanapanga vipi alama zao.Hizo grades zinaanzia marks ngapi katika diploma. Nasema hivyo maana kwa mfumo wa sasa wa form six, kupata A itakuwa kazi ngumu! 80+ na mama Ndalichako hakutakuwa na maswali marahisi kama ya Big Results Now (BRN)
http://41.93.31.136:8080/noas/Deadline link???