Ngoja waje kutupa muongozo.Natafuta guest ya hiyo bei wakuu maeneo ya barakuda naomba mrejesho
Unataka kununua kunguni kwa bei hiyo??Natafuta guest ya hiyo bei wakuu maeneo ya barakuda naomba mrejesho
Tafuta uchochoro umalizane naeNatafuta guest ya hiyo bei wakuu maeneo ya barakuda naomba mrejesho
🤣🤣🤣Unataka kununua kunguni kwa bei hiyo??
Hakikisha hupeleki mifugo nyumbani. Ukifka kwako vulia nguo nje kabisa uingie uchi ndani, kimbembe kama umpenga chumba kimoja🤣🤣
Apo kwanza ncheke[emoji23][emoji23]Acha kupoteza pesa nenda Shule ya msingi kisukuru hawafungi madarasa utakuja kunishukuru🥲
Nchi ngumu hii.......Acha kupoteza pesa nenda Shule ya msingi kisukuru hawafungi madarasa utakuja kunishukuru🥲
Kuna ka ugonjwa ka kujikuna ndicho unachokitafuta kwa bei yako elekezi[emoji1787]Natafuta guest ya hiyo bei wakuu maeneo ya barakuda naomba mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta uchochoro umalizane nae