Nikija Namie Mwanza Sitapata Tabu KabisaaaKaribu na nini? Hawa wako karibu kabisa na kituo cha mabasi kama unataka kulala hapo kwa ajili ya safari au utakuja umechelewa. Ila kama kweli uko serious inabidi uwapigie mapema kwa ajili ya kufanya "reservation" au kama watakuambia ufanye "booking" kwa empesa watakupa maelekezo. Kumbuka namba za kupiga ni 0757 955 901 MAGIDA GUEST HOUSE
1,333.33 sijui kama utapata.
niko stand hapaUnaonaje mm niwe mwenyeji utakula, utalala na kunywa bure, bado na pocket nitakutoa juu! Ndo raha ya kuwa na marafki!
Njoo mecco! Buzuruga!
kamanilikuona juzi kiabakariwe ndio wa kwenye dp? nisubiri nakuja kukupa lift hadi dar
Unaijua Magomeni Guest House?Kuna ya elfu 15,000 inaitwa Magida Guest House wapigie kwa namba hizi hapa 0757955 901
umeona mambo yangu Eddy Love hahahahhahaahaha Mwanza naijua hadi uvunguni.
Huku kwetu tushazoea ,tushapigwa chabo hakuna kilichobakiUnalalaje Guest Ya 20k Au 15k. Mwishoni Utaishia Kupigwa Chabo Unavyooga. Hauna Mwenyeji??Pole Lakini Kama Huna Zaidi Ya Hiyo!
sipajui
Njoo dv8 club nundu!
Ofa gani?sipajuileo nna ofa kwa wana jf wa Rock cty
Aya. Mie Siko Mwanza. Ukija Dar Naomba Na Mimi Kupiga Chabo.Huku kwetu tushazoea ,tushapigwa chabo hakuna kilichobaki.... nifanyie booking la 200k boss
Mtanzania mwema
Umeshapata pa kujibanza mkuu?sipajuileo nna ofa kwa wana jf wa Rock cty
Golden crest chumba kinaanzia bei gani mkuu?Ukienda Mwanza uwe unalala sehemu kama Victoria annex,G & G kuna GJ na nyingine nyingi sana! Pia waweza jikakamua ukapata usingizi wako pale Golden Crest Hotel hata pia Mwanza hotel! Huku ukipata matunda fresh kabisa hapo pizzeria
Mkuu usiogipe jengo! Kuna siku nilipanda hadi ghorofa ya 8 hapo juu,kuna bar nzuri sana! Nikaagiza beer moja kutest ikaja bill ya 3000! Acha nizitandike zakutosha huku napata music safi Kabisa,watoto wakishua na Malaya wakimiminika kwa wingi! So unaweza pata chumba cha bei poa pia! Uliza hapo receptionGolden crest chumba kinaanzia bei gani mkuu?
Hata pegion pia anaweza kupata chumba na huduma zote km chakula, vinywji na mziki.Mkuu usiogipe jengo! Kuna siku nilipanda hadi ghorofa ya 8 hapo juu,kuna bar nzuri sana! Nikaagiza beer moja kutest ikaja bill ya 3000! Acha nizitandike zakutosha huku napata music safi Kabisa,watoto wakishua na Malaya wakimiminika kwa wingi! So unaweza pata chumba cha bei poa pia! Uliza hapo reception
Asante sana mkuu. Nitajitosa siku nikitembelea Rock City.Mkuu usiogipe jengo! Kuna siku nilipanda hadi ghorofa ya 8 hapo juu,kuna bar nzuri sana! Nikaagiza beer moja kutest ikaja bill ya 3000! Acha nizitandike zakutosha huku napata music safi Kabisa,watoto wakishua na Malaya wakimiminika kwa wingi! So unaweza pata chumba cha bei poa pia! Uliza hapo reception
koo 20,000 unaiona ya "matawi ya juu"??? nauliza tuWanawake Bhana Usikute Unataka Guest Ya 6000 Ila Umejikaza Tu Kuropoka Ya Gharama Ili Uonekane Matawi Ya Juu
bidhaa yoyote utakayoikutaOfa gani?