princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,655 Reaction score 19,271 Jun 12, 2017 #1 Habari Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15 anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza. Ahsanteni
Habari Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15 anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza. Ahsanteni
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Jun 12, 2017 #2 1,333.33 sijui kama utapata.
mtugani wa wapi huyo JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 1,239 Reaction score 1,477 Jun 12, 2017 #3 Babati said: 1,333.33 sijui kama utapata. Click to expand... Salute
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Jun 12, 2017 #4 mtugani wa wapi huyo said: Salute Click to expand... Poa mkuu
M Mucho Mucho JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 251 Reaction score 263 Jun 12, 2017 #5 Ji princess ariana said: Habari Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15 anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza. Ahsanteni Click to expand... Jipumzishe kumalija..opposite na nyegezi stand
Ji princess ariana said: Habari Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15 anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza. Ahsanteni Click to expand... Jipumzishe kumalija..opposite na nyegezi stand
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jun 12, 2017 #6 Wanawake Bhana Usikute Unataka Guest Ya 6000 Ila Umejikaza Tu Kuropoka Ya Gharama Ili Uonekane Matawi Ya Juu
Wanawake Bhana Usikute Unataka Guest Ya 6000 Ila Umejikaza Tu Kuropoka Ya Gharama Ili Uonekane Matawi Ya Juu
I IMMA1 Member Joined May 16, 2017 Posts 61 Reaction score 47 Jun 12, 2017 #7 Usitie shaka hapo kuna lodge nyingi kuliko sehem nyingjne yoyote jijini mza...ikifatiwa na nyakato. Kama vip kuna viena kwa chini kidogo hapo.
Usitie shaka hapo kuna lodge nyingi kuliko sehem nyingjne yoyote jijini mza...ikifatiwa na nyakato. Kama vip kuna viena kwa chini kidogo hapo.
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,655 Reaction score 19,271 Jun 12, 2017 Thread starter #8 Mucho Mucho said: Ji Jipumzishe kumalija..opposite na nyegezi stand Click to expand... Asante
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,655 Reaction score 19,271 Jun 12, 2017 Thread starter #9 Eddy Love said: Wanawake Bhana Usikute Unataka Guest Ya 6000 Ila Umejikaza Tu Kuropoka Ya Gharama Ili Uonekane Matawi Ya Juu Click to expand... Kwani tukiheshimiana kuna ubaya gani?
Eddy Love said: Wanawake Bhana Usikute Unataka Guest Ya 6000 Ila Umejikaza Tu Kuropoka Ya Gharama Ili Uonekane Matawi Ya Juu Click to expand... Kwani tukiheshimiana kuna ubaya gani?
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jun 12, 2017 #10 princess ariana said: Kwani tukiheshimiana kuna ubaya gani? Click to expand... Wewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni
princess ariana said: Kwani tukiheshimiana kuna ubaya gani? Click to expand... Wewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,082 Jun 12, 2017 #11 princess ariana said: Kwani tukiheshimiana kuna ubaya gani? Click to expand... achan nae ova anakulisha
princess ariana said: Kwani tukiheshimiana kuna ubaya gani? Click to expand... achan nae ova anakulisha
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jun 12, 2017 #12 mrs air said: achan nae ova anakulisha Click to expand... Wewe Nawe Mbona Unashoboka Shoboka
I IMMA1 Member Joined May 16, 2017 Posts 61 Reaction score 47 Jun 12, 2017 #13 We endelea kutafuta pa kulala dada kama hujapata cheki barabara inayoshuka chini kulia kuna kitu cha Rolinna iko poa sana.
We endelea kutafuta pa kulala dada kama hujapata cheki barabara inayoshuka chini kulia kuna kitu cha Rolinna iko poa sana.
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jun 12, 2017 #14 princess ariana Mtafte Huyu Dada CHIKIRA MTABARI Yuko Mwanza Huko Huko
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,082 Jun 12, 2017 #15 Eddy Love said: Wewe Nawe Mbona Unashoboka Shoboka Click to expand... yaan jins tu ulivyo unafaa kuwa houseboy wangu wa kulisha na kupikia mbwa..njoo unisaidie kupeleka mbwa kuogeshwa aic maana dah!
Eddy Love said: Wewe Nawe Mbona Unashoboka Shoboka Click to expand... yaan jins tu ulivyo unafaa kuwa houseboy wangu wa kulisha na kupikia mbwa..njoo unisaidie kupeleka mbwa kuogeshwa aic maana dah!
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jun 12, 2017 #16 mrs air said: yaan jins tu ulivyo unafaa kuwa houseboy wangu wa kulisha na kupikia mbwa..njoo unisaidie kupeleka mbwa kuogeshwa aic maana dah! Click to expand... Siyo Kosa Lako Bali Maisha Yako Ndo Yanafanya Uwe Jinsi Ulivyo
mrs air said: yaan jins tu ulivyo unafaa kuwa houseboy wangu wa kulisha na kupikia mbwa..njoo unisaidie kupeleka mbwa kuogeshwa aic maana dah! Click to expand... Siyo Kosa Lako Bali Maisha Yako Ndo Yanafanya Uwe Jinsi Ulivyo
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,459 Reaction score 699 Jun 12, 2017 #17 Short time au?
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,655 Reaction score 19,271 Jun 12, 2017 Thread starter #18 Eddy Love said: Wewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni Click to expand... Kwani maana ya Jf ni nini? Wenye kuzijua wamejibu, ulitaka nifike pale na mamizigo nianze kutanga tanga kutafuta lodge? Kwaleo tuishie hapa
Eddy Love said: Wewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni Click to expand... Kwani maana ya Jf ni nini? Wenye kuzijua wamejibu, ulitaka nifike pale na mamizigo nianze kutanga tanga kutafuta lodge? Kwaleo tuishie hapa
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,655 Reaction score 19,271 Jun 12, 2017 Thread starter #19 Papaa Kinyani said: Short time au? Click to expand... nahitaji kukaa kwanzia jioni mpaka alfajiri maana nna safari
Papaa Kinyani said: Short time au? Click to expand... nahitaji kukaa kwanzia jioni mpaka alfajiri maana nna safari
LEARNED BROTHER JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 598 Reaction score 863 Jun 12, 2017 #20 Passion,.jirani na Nyegezi stand.