Aisee Jf ni kila kitu
Hadi gesti zinauliziwa humu?
Subiria wanakuja mkuu, Mbeya gesti nyingi sana usihofu.
Ni 50k mkuu, kuna moja ipo chini yake inaitwa GR City hotel nzuri 35k ro nzurihotel hutak? kuna moja maeneo ya soweto inaitwa Mkulo 40,000/- kwa room