guess!

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
baba baada ya kumtuma mawanae sabuni,mwanae akarudi na pesa,bila sabuni:
baba:"mwanangu jifunze kutumia akili yako vizuri,leo nimekutuma sabuni aina ya mbuni,umekosa ungenunua sabuni aina nyingine kama mbadala,mfano kanga au nyingineyo"
Baada ya siku mbili baba akamtuma mwanae huyo kununua maputo(mapulizo)ya kupamba shereheni,mtoto akakosa maputo,akarudi na kumkuta baba yake akiwa na wageni,
Guess alimpa nini?
 
ah ah ah ndom duh tena imeshapulizwaaaaaaa
 
Huyo mtoto ni mtundu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....lakini alijuaje? Watoto wa siku hizi wa new generation
 
safi sana wazee wanajifanyaga wanaakili sana!!!!kudadeki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…