Barca lazima wanunue hasa mabeki,ukiangalia kwa mfano kwa mwaka huu Barca imewa'cost sana kutokuwa na ukuta mzuri,however much they tried to push for a winning the deffence line has always been letting them down,Puyol is out of date just like Nsajigwa wetu hapa Bongo,hata golkeeping pia nafikiri haiko vizuri sana ksbb kipa mzuri inatakiwa awe anajitahidi kufuta makosa ya beki yake,siyo kila kosa la beki bao...huo ni ubwege.