Aisee wakuu, hili game jamani likitoka si litafanya watu wasiende makazini au kuingia class kwa wana vyuo? sjaona game yenye reality kama hii so far. Lakini kama nimeona platforms itakua kwa PS3 na Xbox360 peke yake? where does it leave the pc gamers? itakua balaa/
Grand Theft Auto V: Official Gameplay Video - YouTube