Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
hao nawakubali watakusaidia Njunwa wa mavokoWataalam wangu hapa jibu limekosekana?
Asante mkuu kwa kunijibu. Hakuna mtandao mwingine eneo hilo. Isipokuwa mtandao upo baadhi ya maeneo ila ni kwa taabu mf. kwenye kona ya chumba fulani au nje upo ila ukiingia ndani unapotea.mkuu kuna zile case hupati network ila ukipanda juu ya mtu unaipata itakusaidia kuboost network ila kama network ni ndogo let say mtaa mzima haitasaidia.
umejaribu kutumia mtandao kama halotel na smart hawana network nzuri hapo kwenu?
kama ni original itasaidia mkuu, itachukua network ya nje au kwenye corner ya hio nyumba na kuisambaza,Asante mkuu kwa kunijibu. Hakuna mtandao mwingine eneo hilo. Isipokuwa mtandao upo baadhi ya maeneo ila ni kwa taabu mf. kwenye kona ya chumba fulani au nje upo ila ukiingia ndani unapotea.
Kupiga na intaneti mkuu. Kabla sijaagiza nilitaka kupata ushuhuda kuhusiana na ufanisi wake.kama ni original itasaidia mkuu, itachukua network ya nje au kwenye corner ya hio nyumba na kuisambaza,
unahitaji kwa ajili ya internet au simu za kupiga?
Ngoja tupate kwanza uhakika. Tusijekuagizs ikawa ya urembo.Hata mimi nahitaji hiyo kitu maana mtandao unapatikana sehemu moja tu ya nyumba ukishusha simu hupati kitu
Mkuu umefikia wapi ? mm nilishaifunga hiyo BADO SIJAFAULU ILA SIMU ZA KUBAHATISHANgoja tupate kwanza uhakika. Tusijekuagizs ikawa ya urembo.
Mkuu umefikia wapi ? mm nilishaifunga hiyo BADO SIJAFAULU ILA SIMU ZA KUBAHATISHA
Unaijui hiyo ni nini na kazi yake?Haina matokeo ya maana, kwenye whatsapp hasa ku upload picha na clips ina Fail kabisa afadhali kdg simu kawaida by 50%
Sina hakika naomba utuelimishe please ! !Unaijui hiyo ni nini na kazi yake?
duh huyu Njunwa Wamavoko sijamuona mda sana, alikuwa msaada sana
Chief kwema.kama ni original itasaidia mkuu, itachukua network ya nje au kwenye corner ya hio nyumba na kuisambaza,
unahitaji kwa ajili ya internet au simu za kupiga?
.Chief kwema.
Nataka kununua hicho kifaa AliExpress kwa ajili ya ofisini maana nje kuna mtandao lakini ukishaingia ndani ndani hata kupiga tu simu huwa inakuwa tabu. Je hichi hapa kitanifaa. Nataka kupata na internet 4G. Ofisi ipo town Arusha
TZS 216,373.26 53%OFF | Cellular Repeater GSM DCS WCDMA 900 1800 2100 Tri Band 2G 3G 4G Signal Booster Mobile Signal Amplifier 2 Indoor Antennas Set
Frequency zina match, Fuata hayo maelekezo kuchek signal KwanzaChief kwema.
Nataka kununua hicho kifaa AliExpress kwa ajili ya ofisini maana nje kuna mtandao lakini ukishaingia ndani ndani hata kupiga tu simu huwa inakuwa tabu. Je hichi hapa kitanifaa. Nataka kupata na internet 4G. Ofisi ipo town Arusha
TZS 216,373.26 53%OFF | Cellular Repeater GSM DCS WCDMA 900 1800 2100 Tri Band 2G 3G 4G Signal Booster Mobile Signal Amplifier 2 Indoor Antennas Set
Nje signal ipoFrequency zina match, Fuata hayo maelekezo kuchek signal Kwanza
Zinafika hio 70 mpaka 90db kama alivyo shauri? Download hio app na utestNje signal ipo