GSM anaharibu kombe la Shirikisho

GSM anaharibu kombe la Shirikisho

Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF.

Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia.

Mimi ni mzee wa Simba.
Sawa ila kumbuka kutoa huo mwiko nyuma ili tuamini kama wewe ni mzee wa simba
 
Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF.

Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia.

Mimi ni mzee wa Simba.
Thibitisha maneno yako
 
Kuna uwezekano mkubwa wa simba kukutana na Yanga kwenye fainali ya kombe la shirikisho la CRDB msimu huu, iwapo tu hawatatolewa na Mbeya City.
 
Back
Top Bottom