GSM Ametufanya anachotaka

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚na mshukuru bodi ya ligi mechi zenu kama 6 za mapenatu na red kadi ziliwafanya kuwania nafasi ya 2. Ila uhalisia hakumstahili kabisa.

Tatizo mashabiki nyie......
 
Mchezaji akiguswa kidogo tu anaanguka, timu inashambuliwa utadhani anacheza Yanga na Tabora united. Ukisema ukweli unaonekana we ni Yanga. Msimu huu hata marefa wametubeba sana. Hata kile kipigo kutoka Black stars ni kwamba tulikuwa overpowered.
 
Simba tusubiri risiti za Mo tu, tujiandae kulipa.
Ni kweli, mechi tano non stop tunapigwa! Msimu ujao tutapigwa tena mfululizo hadi turudishe watu wafia timu.
 
Hongera kwa kuwa muwazi, haya dunduka yeyote mwenye dukuduku na timu yake, huu uzi ndiyo wa kutemea sumu viongozi wenu.

#YANGABINGWA2024/2025 πŸ†πŸ†πŸ†
🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨
 
Ukitaka ujue hili,angalia ni wachezaji wangapi wa Simba wanaingia first eleven ya Yanga
 
Ukitaka ujue hili,angalia ni wachezaji wangapi wa Simba wanaingia first eleven ya Yanga
Mkuu Kwa uchambuzi wako hebu niambie ni nani na nani


Kwangu mi japo ntakua biased naweza kusema

1. Diarra( Camara namkubali ila sipendi akidaka mpira anavyopoza mashambulizi).
2.kapombe
3.zimbwe
4.bacca
5.job
6.aucho
7.pacome
8.mudathir
9.mzize( dube na ateba wote naona wanapelea)
10.ahoua
11.mpanzu
 
Tunajenga timu, hata hivyo tumevuka malengo tuliyojiwekea msimu huu.

Acha porojo kijana, alisikika shabiki lialia wa kolo akizungumza.
 
Tunazidiwa na mbinu nje ya uwanja,hata Mimi Huwa najiuliza,wachezaji wa simba one against one na mchezaji wa yanga,wa utoplo anachukua mpira
 
Imbeni wimbo wenu wa GSM anaharibu ligi.
 
Mchezaji akiguswa kidogo tu anaanguka, timu inashambuliwa utadhani anacheza Yanga na Tabora united. Ukisema ukweli unaonekana we ni Yanga. Msimu huu hata marefa wametubeba sana. Hata kile kipigo kutoka Black stars ni kwamba tulikuwa overpowered.
Simba anatakiwa aombe ashiriki shirikisho ndiyo saizi yake.
 
Rage aliwaita mbumbumbu
Mangungu alimleta manzoki kwenye mkutano mkuu
 
Simba janja janja nyingi! Usajili wa kuokoteza okoteza, kisha mashabiki wanajazwa meneno ya yule msemaji wao asiyejitambua na wanajaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…