GSM Ametufanya anachotaka

GSM Ametufanya anachotaka

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,990
Reaction score
34,837
Wanasimbaaa,

Kwa ufupi Yanga tumewashindwa! Hata hizi danki danki za majuzi ni uoga wetu tu.

Fact ni tuache janja janja GSM atatufanya anachotaka hadi tupate uwekezaji serious ili tujenge timu ya maana.

Tuache maneno mengi, Yanga hawakujenga timu kwa kuleta watoto, walileta watu wa kuwapa matokeo.

Msimu mwingine wa kinyonge, msimu mwingine wa kuongeza idadi ya mechi mtani katufanya alichotaka.

Msimu huu mpya tutafanya makosa Yale Yale! Usajili mbovu na janja janja.

Haya subirini faraja ila facts ni facts! Tumewashindwa mfululizo hadi aibu! F**
 
Hata Mpanzu na Ateba ni kifurushi tu ila tulishasajili tukamaliza. Simba kuna matatizo ila mashabiki na wanachama kama wamepigwa ganzi. Hivi kwasisi tulioshabikia mpira toka miaka ya 80 inawezekana vipi Yanga akufunge mfululizo kwa aibu ya namna hii alafu tupate usingizi? Vitafanyika vikao vya kijinga, usajili wa siri siri then tutaambiiwa bado tunajenga timu.
 
Kudos mkuu.. usingeleta huu uzi ningeandika japo usingefikia ubora wa uzi wako.

Napenda mashabiki wenzangu wanao-admit ukweli! Mimi nimekubali Yanga wamekua bora msimu huu na misimu mi2 ama mi3 iliyopita.
 
Wanasimbaaa,

Kwa ufupi Yanga tumewashindwa! Hata hizi danki danki za majuzi ni uoga wetu tu.

Fact ni tuache janja janja GSM atatufanya anachotaka hadi tupate uwekezaji serious ili tujenge timu ya maana.

Tuache maneno mengi, Yanga hawakujenga timu kwa kuleta watoto, walileta watu wa kuwapa matokeo.

Msimu mwingine wa kinyonge, msimu mwingine wa kuongeza idadi ya mechi mtani katufanya alichotaka.

Msimu huu mpya tutafanya makosa Yale Yale! Usajili mbovu na janja janja.

Haya subirini faraja ila facts ni facts! Tumewashindwa mfululizo hadi aibu! F**
Simba kuna tatizo kubwa nitarud simba akiondoka msemaji huyu
 
Tuseme ukweli kwanini levo ya kujituma kwa wachezaji wetu huwa iko chini sana.

Yaweza kuwa team si mbaya sana lkn hata kipindi yanga wanakuwa wabovu bado hutusumbua. Utakuja kuona wachezaji wao wanajitoaga sana.

Simba wachezaji wanacheza kama wanasukumwa yaani wapo wapo tu.
 
Hatupo serious. Ujinga tu! How Uto akufunge mfululizo alafu bado unasajili kwa mazoea? Tutadanganywa na Faisal then wataokotwa madogo wengine west Africa tupigwe tena. Tuache ujinga viongozi wawajibike wasituletee siasa
Husijiumize sana kushabikia timu kama hiyo. Fikiria mwenyekiti wa hiyo timu analeta mchezaji wa timu nyingine kwenye uchaguzi kama kampeni ili achaguliwe na bado yuko madarakani, yaani anawaona mashabiki ni mabumunda.
 
Hatupo serious. Ujinga tu! How Uto akufunge mfululizo alafu bado unasajili kwa mazoea? Tutadanganywa na Faisal then wataokotwa madogo wengine west Africa tupigwe tena. Tuache ujinga viongozi wawajibike wasituletee siasa
Hizo pesa za kununua hao wachezaji wa viwango vya Yanga tunazo Simba? Tusikimbilie kulaumu. Labda pesa hazitoshi kununua wachezaji wa viwango vikubwa zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom