Growing fears of a Greek default

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,370
4,292
Hawa watakua "bailed out" mara ngapi?

Growing fears of a Greek default sent a hurricane through heavily exposed French banks on Monday and hit the euro as investor confidence in the European currency area's ability to surmount a sovereign debt crisis ebbed.

Greek default jitters hammer French banks, euro | Reuters

[h=1]Global stock markets down on debt fears as euro falls[/h]US shares have opened down, following falls in European and Asian markets on fears that Greece may default.

BBC News - Global stock markets down on debt fears as euro falls
 

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,542
5,852
Hayo ndio madhara na uchafu uliokuwa umefunikwa kwa muda mrefu ndani ya nchi nyingi za Europe kwa kuendelea kuwalea wavivu na wazembe. Na bado.
 

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,117
Haiwezekani kutegemea misaaada ili kujitegemea...

Mwishoni haitafa tu... Hata iweje .. haitafaaah

Simply it can not work neither n Greek nor n TANZANIA!!!
 

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,132
1,333
baba huko nasikia watu wana retire at 45 with full mshiko + full medical,paid vacation huko ni 60 days and only 4 working days..si mchezo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom