Hiyo asilimia 5 ndio naiongelea, wapo wachache sana, kuna siku nilienda sehemu nikakuta watu wa huduma ya kwanza wanatangaza kama yupo mwenye hili group, kuna mtoto anaumwa na anahitaji damu, niliumia na nikajua kumbe wapo wachache, na sasa tujuane ili tulisaidie Taifa