Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,096
- 828,932
... Ukweli ni kwamba hakukuwa "grimoires kwenye Kompyuta." Simulizi zote zilisimuliwa live tena kwa mifano halisi
Hapo zamani za kale mtu anaweza kufungwa au kuuawa kwa kumiliki kitabu kama vile grimoire. Kwa hivyo mtu yeyote ambaye alikuwa na ujasiri wa kujaribu moja ya grimoires ya zamani alijua fika kwamba alikuwa akiyabeba maisha yake mikononi mwake na kuanza kazi.
Grimoires hutoa maagizo ya kuunda aina nne za roho. Hawa ni, malaika, mapepo, majini, na wafu. Aina zote nne za aina hizi za roho zinajulikana kuwa hatari.
Ikiwa Biblia ina ukweli wowote ndani yake, kama malaika waliharibu miji na kuua watu. Wao sio wanyama wa kufugwa, ni hayawani wasiotabirika. Kuna simulizi nzuri na mbaya. Mapepo yanaweza kuwa mazuri na mabaya ya kutisha.
Sawa tu na wafu, kama mtu yeyote ambaye ametumia muda wa kutosha kwenye makaburi usiku anajua. Kuna mambo ya ajabu kule kwenye ule utulivu wa giza la usiku makuburini
Kwa hivyo ikiwa unafikiria kuwa mchawi na ufanye ushirikina tena kwa kutumia grimoire, karibu kilingeni na uwe tayari kukabiliana na chochote. Au kaa mbali nayo na labda ufanye shughuli salama zaidi kama vile kusuka, kuwa mwalimu, mfanyabiashara nk
Sent using Jamii Forums mobile app