aiseeeSept 11 ni siku ya 254 ya mwaka,2+5+4=11,na zinakua zimesalia siku 111 mwaka uishe!New York City nayo ina herufi 11 na ni taifa la 11 kujiunga na USA!911 ni namba ya dharula ya Marekani!Majengo ya WTC yakiwa yamesimama yanatemgea namba 11 jumlisha na namba ya ndege ya kwanza kugonga WTC ambayo ni flight 11 kisha tarehe ya siku ya tukio yaani tarehe 11 unapata 33,hii ni idadi ya digree ya Freemason!Wakati ndege ya kwanza ingonga WTC ilikuwa umbali wa futi 159 na inchi 2 kutoka ardhini,1+5+9-2=13!Hekalu la freemason wa digree ya 33 liko umbali wa 13 blocks kutoka white house!Ukitaka kujua maana ya namba hizo angalia post zangu zilizotangulia pia kuhusu sept 11 au maarufu kama 911 soma ufunuo 9:11,pia kwa namba 13 soma mwanzo 14:4,ila kwa maelezo angalia post zangu zilizotangulia ujue maana ya namba hizo kwa mujibu wa waabudu shetani hawa!Je hayo nayo ni imani yangu?Je osama alipanga hayo?Au ilikua ni ibada ya kishetani?
Mr.kituko naomba nkurekebshe AMRI KUMI ALIZOPEWA MUSA ZILIKUWA katika lugha ya kiarabu na sio kwamba zilikuwa zna ufanano na lugha ya kiarabu coz MUSA Mwenyewe lugha mama yake ni kiarabu na ndiyo aliyokua aki itumia,,na MISRI NI NCHI inayotumia lugat arabia na pia nchi hiyo ipo ndani ya MIDDLE EAST nchi zote zlizopo middle East lugha za asili ni kiarabu yaan kusoma na kuiandika kutoka kulia kuelekea kushoto,n hayo tu
Kwa taarifa yako jina rasmi la papa katika kilatini ni VICARIUS CHRISTI (VICA WA KRISTO) na wala sio VICARIUS FILLI DEI (VICA MWANA WA MUNGU) kama mnavyotaja wengi,kwani hili jina vicarius filli dei likifanyiwa hesabu ya nambari jumla yakf ni 666.Kwa hivyo nambari hii kamwe haipaswi kutumika kumtaja mtu yeyote.kwa hivyo Tiara ya papa haijawahi wekwa hiyo alama ya 666 wala hilo jina la vicarius filli dei bali kunajina vicarius christi,na ujuwe huo unao usema ni uvumi tu wa kulishutumu kanisa katoliki yakuwa ni waabudu shetani na kulitaka kulisambaratisha tu.Usipende kuamini usio yajua ndugu.Sio yeye tu,mapapa wote walikua member including benedict xvi,pamoja na kofia yao yenye maneno VICARVIS FIL DEI(sina uhakika kama nimepatia speling)pamoja na kanisa katoliki lote!
Kituko,kabla sijajibu hoja yako ya upya wa namba naomba uniambie hizi namba tunazotumia leo zilianza kutumika lini?Kuhusu maandishi ya kofia ya papa angalia vyema post yangu utaona nimeyaandika.Kuhusu amri ambazo Mungu alimpa Musa hakumpa kwa lugha ya Aramaic,wakati huo Musa alikuwa anazungumza kiebrania.Ndugu Kidonge mashariki ya kati kulikua na lugha nyingi,Misri ya kwenye maandiko sio ya leo ambayo ilivamiwa waarabu.Wayahudi walikua wanazungumza lugha tofauti kulingana na nyakati na waliokua wanawatawala!
IGWE,ngoja nikupe hili dogo kwanza.Hebu niambid nani amefanya haya,Kule Marekani maraisi wote waliochaguliwa mwaka unaoanza na O walikufa wakiwa madarakani kasoro George W Bush,kwa nini?William Henry Harrison alichaguliwa 1880,alikufa akiwa madarakani April 4,1881,Abraham Lincoln alichaguliwa 1860,aliuwawa april 15,1865,William McKenley alichaguliwa 1900 aliuwawa sept 19,1901,Waren G Harding alichaguliwa 1920 aliuwawa agost 2,1923,Franklin D Roosevelt alichaguliwa 1940 aliuwawa april 12,1945 na John F Kennedy alichaguliwa 1960 aliuwawa nov 22 1963,Ronald Regan aliechaguliwa 1980,alipigwa risasi na baada kupona madaktari walisema amepona kiajabu sana,sasa niambie nani alifanya haya?Au ni "magaidi?"changanya akili kijana!
mkuu labda unapoint ya msingi hamna sababu yoyote ya msingi ya vifo vyao isipokuwa waliuawa sababu tu walichaguliwa mwaka unaoanzia 0 (there must be more logical explanation than that) afu sijajua kwanini unasema sifuri inaanza kwani wewe unahesabu kuanzia kulia
Upagani tu utaendelea kutawala.
Apollo came from the word Apollion which means destroyer,do you knw who is destroyer?Read Rev 9:11!
Rev iliandikwa baada ya Yesu AD, trace back kwa wagiriki, Apollo alikuwa mungu wa sun, beauty, arts and music. Alikuwa mungu wa kiume mzuri kuliko miungu wengine wa kigiriki ndio maana akaitwa Apollo (handsome), alikuwa mtoto wa Zeus. Mimi hili ni jina langu la kuzaliwa. It has nothng to do with upagani, lina maana ya handsome, na mimi ni handsome thats why babu yangu aliyeishi spain alinipa jina hilo kwakuwa aliniona nipo cute nilipokuwa mdogo.
Ha,ha,ha,haaa,umenichekesha,umesema alikuwa mungu wa wagiriki,pia alikua ni mtoto wa Zeus,kisha unasema hana uhusiano na upagani?Unanishangaza.Unamjua Zeus wewe?Unamjua huyo apollo?Hebu google hayo majina kisha useme eti has nothing to do with upagani?Unashangaza!
|
|
|
Ha,ha,ha,haaa,umenichekesha,umesema alikuwa mungu wa wagiriki,pia alikua ni mtoto wa Zeus,kisha unasema hana uhusiano na upagani?Unanishangaza.Unamjua Zeus wewe?Unamjua huyo apollo?Hebu google hayo majina kisha useme eti has nothing to do with upagani?Unashangaza!
|
|
|
tatizo ni nini? Je tatizo ni jina Apollo au imani ya Apollo? ndio ni mungu wa kipagani kama wewe unavyodai,ila je yeye ni mpagani? yeye kuitwa Apollo hakuna uhusiano na madai yako,kutokana na tafsiri aliyoichukua si tafsiri unayotaka iwe.Sioni umuhimu wa kubishana au kulazimisha maana.Je wewe unafaham maana na chimbuko la jina lako? Linawezekana nikawa linamaana mbaya au chimbuko baya lakini ni jinsi gani lina maana kwako na jinsi gani unavyolitumia likawa na utofauti na chimbuko au maana halisi ya jina...sijui upagani sijui ushetani hizo ni imani za watu,waache wawe ivyo kwani wamechagua wawe ivyo jaribu kuwabadili ila wakikataa waache,inawezekana kwao wanaona ni sahihi kuwepo huko.Cha muhimu shikilia imani yako usihukumu ya mwenzio,ikiwezekana muelimishe unapoona anapotea ila kamwe usilazimishe aamini unachoamini kama akitaka kufuata imani yako usimzuie au anaendelea na imani yake usimzuie. Usijione wewe ni bora zaidi ya fulani,kumbuka we ni binadamu tu nawe pia hauja kamilika.Apollo,Nadhani wewe ndo hukunielewa,wewe ulisema umepewa jina hilo kwa sababu ya u-handsome,ukadai na apolo nae alipewa jina hilo kwa sababu hizohizo na ukasema jina hilo halihusiani na upagani,hapa ndo penye tatizo.Kwanza hilo ni jina la mungu wa kipagani,pili ulaya na maeneo mengi duniani wanaendeleza sana imani ya upagani ndo maana hata babu yako alieishi huko akakupa jina hilo.Halafu wewe unatumia jina la mungu wa kipagani huoni wewe ni una tatizo?Labda uwe sio mkristo.Yusu alimwambia Yohana tafsiri halisi ya Apollo kwenye Rev 9:11,sijui kama unataka kuendelea kuitwa jina la mungu wa kipagani,kama wewe ni mkristo utakua unajua fika kuwa hakuna ushirika kati ya upagani na ukristo.Wapagani wa Ulaya wanampenda sana mungu wao ndo maana wanawapa watoto wao majina ya miungu wa kipagani.Ibrahimu na mkewe walikua wanaishi Uru ya Wakaldayo,eneo lililokua na ibada ya kipagani,lakini Mungu alipotaka kumfanya Ibrahimu baba wa taifa lake aliwabadili majina yeye na mkewe,walikuwa na majina kama lako,majina ya kipagani!Zeus,Apollo,Nimrod,Jupiter nk hizi ni a.k.a za Lucifer,yapo majina mengi sana ya Lucifer!
Asante sana ndugu kwa kumpa somo maana mimi nimeshindwa kumuelewesha.tatizo ni nini? Je tatizo ni jina Apollo au imani ya Apollo? ndio ni mungu wa kipagani kama wewe unavyodai,ila je yeye ni mpagani? yeye kuitwa Apollo hakuna uhusiano na madai yako,kutokana na tafsiri aliyoichukua si tafsiri unayotaka iwe.Sioni umuhimu wa kubishana au kulazimisha maana.Je wewe unafaham maana na chimbuko la jina lako? Linawezekana nikawa linamaana mbaya au chimbuko baya lakini ni jinsi gani lina maana kwako na jinsi gani unavyolitumia likawa na utofauti na chimbuko au maana halisi ya jina...sijui upagani sijui ushetani hizo ni imani za watu,waache wawe ivyo kwani wamechagua wawe ivyo jaribu kuwabadili ila wakikataa waache,inawezekana kwao wanaona ni sahihi kuwepo huko.Cha muhimu shikilia imani yako usihukumu ya mwenzio,ikiwezekana muelimishe unapoona anapotea ila kamwe usilazimishe aamini unachoamini kama akitaka kufuata imani yako usimzuie au anaendelea na imani yake usimzuie. Usijione wewe ni bora zaidi ya fulani,kumbuka we ni binadamu tu nawe pia hauja kamilika.