greetings

sisy

New Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
1
Reaction score
0
habarini wanajamvi mie ni mgeni humu nahitaji melezo namna ya kutoa uzi natanguliza shukrani
 
habarini wanajamvi mie ni mgeni humu nahitaji melezo namna ya kutoa uzi natanguliza shukrani

Karibu sana. We ongea tu ila usitukane. Tumia kiswahili lugha ya taifa. Vernaculars hazitakiwi. kiingereza unaweza jaribu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ONGEA.....................
 
Karibu sana, sijakuelewa hapo 'kutoa uzi' kutoa sehemu gani?
 
habarini wanajamvi mie ni mgeni humu nahitaji melezo namna ya kutoa uzi natanguliza shukrani

Karibu sisy jamvini...............mbona umeweza kutoa huu uzi huu, au uzi gani unaoongelea?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…