Hapana, nimefundisha sayansi na hesabu tu. Lakini ninatamani kufundisha lugha siku moja. Kwa saa hizi niko kati ya mashule... yani, ninatafuta kazi.Mwalimu Samuel unafundisha shule gani? Najua unafundisha English/kiswahili
Nikupe ushahidi gani?Acha ulongo wako! Wewe si mwakidegembasi wa ludilo? Mbona unatuchanganya?
Unatafuta kazi marekani au tanzaniaHapana, nimefundisha sayansi na hesabu tu. Lakini ninatamani kufundisha lugha siku moja. Kwa saa hizi niko kati ya mashule... yani, ninatafuta kazi.
Hahaaa mmarekani wewe unatishaKo kote, hata Antarctica kama watanipokea! Kazi ni kazi.
kiingereza hIcho siyo cha mmarekani, acha fix. UPIGWE BAN KWA UONGOHi everyone,
My name is Mwlsamwel, and I'm an American who lived in Tanzania from 2014-2016. I wanted to introduce myself here, because people in this thread were asking me information about my origins. I hope I am welcome here, because I love the Swahili language and culture.
I will now attempt to translate my above message into Swahili:
Jina langu ni Mwlsamwel, na mimi ni Mmarekani aliyeishi Tanzania tangu 2014 mpaka 2016. Nilitaka kujitambulisha hapa, kwa sababu watu kwenye uzi huu walikuwa wananiuliza kuhusu asili yangu. Natumaini ninakaribishwa hapa, kwa sababu ninapenda sana lugha ya kiswhaili na utamaduni wake.
Asante sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ko kote, hata Antarctica kama watanipokea! Kazi ni kazi.
Hii gia uliyoingia nayo jf kuwa we ni mmarekani ili wanawake wakoshobokee naona inaelekea kubumaMoja tu, shule ya sekondari katika kijiji fulani cha kata fulani ya wilaya fulani ya mkoa fulani wa nchi fulani, nchi iliyo Tanzania.
Haya we endeleaNimejitambulisha kama mmarekani bila sababu yo yote ila kwa ajili ya ukweli.
Hi everyone,