Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,523
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Duuuh! Ila wabongo Aseee! Jau sana...
Mwisho lini ?Siku zimebaki chache!
Case closedMwisho lini ?
. Ilikua leo. Next ni mwaka kesho mwezi wa kumi hadi wa early nov. For DV2025 Si unatakiwa upewe/upate pale pale unapofanya submission? Ina maana uliambiwa usubirie?Habari wadau, kwa wale waliojaza fomu za green card lottery, je mmeshapata confirmation code waliyosema wataituma kwa email?! Au changa la macho?
Ndio zilishatumwa chiefHabari wadau, kwa wale waliojaza fomu za green card lottery, je mmeshapata confirmation code waliyosema wataituma kwa email?! Au changa la macho?
Amestaafu?? How?? Miaka 40 ndio amefikia umri wa kustaafu?

Unaijua royal army?Mimi sijawahi kuipata mpaka leo. So nauchukilia mchakato kama mchongo wa jamaa kujipatia fedha tuNdio zilishatumwa chief
Pole. Wenzio wanakesha baa kusubiria safariMimi sijawahi kuipata mpaka leo. So nauchukilia mchakato kama mchongo wa jamaa kujipatia fedha tu
Fine keep on sleeping..Mimi sijawahi kuipata mpaka leo. So nauchukilia mchakato kama mchongo wa jamaa kujipatia fedha tu
What do you mean?!
Kote nimepita man, hamna kitu. Nimesema pande zingineMkuu kwenye email yako umepita kwenye spam
HUkucheza dada?Kumekucha wale mliocheza kaangalieni matokeo