Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,693
Club inayoongoza kwa ubora Duniani na ambayo pia wengi wameiona na kudai kwamba ni Timu Bora ya Karne yaani [HASHTAG]#FCBARCELONA[/HASHTAG] wamezindua #T-shirt nzuri kwa ajili ya sie Mashabiki......Kiukweli ni Tishirt Poa sana zilizoendaa shulee....zinapendeza ukizivaa ata kama wewe si shabiki wa Barca.....! Tunaiamini [HASHTAG]#FCBARCA[/HASHTAG]
Ni Hizi Hapa Jionee
Ni Hizi Hapa Jionee