GREAT THINKERS [wise minds]

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
Nini maoni yako endapo bunge litaendelea kukumbwa na mivutano inayoendelea?

Unadhani nini kifanyike ili ifikapo mwakani, tuwe na katiba mpya kabla ya uchaguzi?
 
Ni wananchi kuingilia kati katiba yetu kwa kuwaonesha wajumbe wenye katiba tupo na wasitutanie........kwanza kufanya maandamano na kuwaeleza nini cha kufanya kuliko kutuburuza.
 
Back
Top Bottom