Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Bukheri SalamSalmini akhuy.... akina shem hawajambo (HF , MC) ?!@Honey faith@miss chagga
passion
Wewe nae wakati ukiambiwa pens down ulijifanya mkaidi, haya kajisahihishie mwenyewe
nilitaka kufurahisha uzi wa leo tu !!Mkuu Zamiluni Zamiluni hili swali ungeniuliza pm ingekua safi...
Si uniulize mie mwenyewe nitakujibu?Mie naumwa njaa nahitaji kuku na chips za kfc😀
hewalaa hewalaa mkausho wako !! umenibidi nipitie protokoli ya utafiti
Mkausho???Na hiyo protokoli inasemaje?
Kwakuibia majibu wewe mtoto sikuwezi
inasema maneno mawili :- Knock the door b4 enter !! ...mmmh ya pili you are watched CCTV!!
baba alisema nisome kwa bidii na maarifa... hapa nimetumia maarifa
HF, upo njia pana ?!! Siamini, basi natuma derava na gari akupitie........hatuanzi kakao hadi uwepo!!Tatizo lugha baba mie mbona umeniacha njia panda?
HF, upo njia pana ?!! Siamini, basi natuma derava na gari akupitie........hatuanzi kakao hadi uwepo!!
HF yaani unakaribia kufika eenh...? Kikao tuna huyu binamu yetu haishi kutusumbuwa....!Mie nipo njia kuu tayari......kikao kinahusu nini?
HF yaani unakaribia kufika eenh...? Kikao tuna huyu binamu yetu haishi kutusumbuwa....!
utafiti hebu elezea how come iwee ni passion
HF kweli usiwe na upeo?! baada ya exipirinsi zote hizo! Wee ndo Mwamuzi,M-kiti,Mshauri mukhtasi..... umuongoze huyu kipofu ktk maisha ya mapya!!Hebu nipe brief kidogo kuhusu huyo binamu nisije vamia kikao ambacho sina upeo nacho
HF kweli usiwe na upeo?! baada ya exipirinsi zote hizo! Wee ndo Mwamuzi,M-kiti,Mshauri mukhtasi..... umuongoze huyu kipofu ktk maisha ya mapya!!
Mungu anajua ... akajua akinipa limama kama wewe ningepata shida sanaTatizo baba yako anakudekeza sana yani ningekuwa mimi nisingekulipia ada