Ndugu ,natumaini mnakumbuka enzi mnasoma pale mbugani,,,,,tukuchekeshane,,,,tupeane changamoto karibuni ....hivi wali unaitwaje pale mbugani eti ,jina lake linafanana sana na mwalimu mmoja pale DS..SEMENI bassssiiiiiiiiiiiiiiiiii
ooohhhhhhhhhhhhhh u have made my day,tulimuita hivyo baada ya kuimbia wali ule wimbo wa mtoto idd kazua balaaaaa............ Anyway mpe hi sana jamaa nadhani sasani mtu mzima anasoma ualimu pale mlimani, Thom npm ukiwa online maana nataka tuchat