Great power politics and future of middle east

Great power politics and future of middle east

mfano mdogo Ak-47 bei yake ni $700 wakati M16 ni $1500 lakin ukija kweny ubora sizani kam kun nchi dunian haiijui hii kitu,mpak usa military wenyew wanaitumia.unawez ukasem wanapat hasara kw bei hii lakin wao inawalipa san kw sababu ya gharam ndog ya material
 
urusi ni nchi ya kwanz dunian kw kuw na natural resources nying kuliko nchi yoyote dunian.ndo maan unaon silaa za urusi ni nzuri lakin bei rahisi,ni kw sababu material mengi wanapata saw na bure
mkuu USSR ilicollapse moja ya sababu ilikua ni kudorora kwa uchumi wa USSR,HATA KIPINDI HICHO NATURAL RESOURCES ZILIKUWEPO,kuwa na natural resources nyingi ni sawa but german haina natural resources nyingi russia lakin ina uchumi mkubwa mara mbili ya urusi,,sasa unasema silaha zake anauza bei rahisi wakati marekani wanaongoza kwa kuuza silaha nyingi duniani japokuwa silaha zake ni ghali.
 
Syria imekuwa na hali mbaya kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wa Obama,Kerry na puppet wao waliowaweka CIA labda na Fbi.Hawana strategy ya vita wala plan B.Mfano wanashambulia na ndege tu ila hawana vikosi vya ardhini na wala hawana mpango wa kupeleka askari wao kwa sababu ya hofu ya Isis.Obama sera anayokomaa nayo na huyo Kerry kilaza na akili yao ilipoishia ni kutetea Ushoga..Kama kuna Kipindi Marekani imepata viongozi vilaza na Dhoofu ni huyu Obama.Kuna mtu alisema Kerry ni mzee ila Uwezo wake wa kufikiri ni kama wa Mtoto wa miaka kumi na mbili.
 
sio kweli mkuu,ussr ilivunjia sio kw sababu ya uchumi,ila ni kw sababu kuna baadhi ya nchi zilikuw tegemez ktk ussr.ndo maan baada ya kuvunjia kuna nchi zilizokuw kweny umoja huo zimeunda mungano wa ulinzi na biashar
 
mahaba hupofusha
 
Vita vya hawa watu ukiviwaza utaumiza akili bure, ni mtandao usioeleweka virahisi. Hata Marekani anayeonekana kama mbabe pia kama amechanganyikiwa
- Anawachukia - Assad, Al Qaeda, Hamas, Iran
- Marafiki - Waasi wa Syria, Israel,
- Hajathibitisha uadui/urafiki - MB, Sisi

Mtandao wote huu hapa

BSm0bOBCYAAAph6.jpg

EDITED_conflicts_graph-12.jpg

A general view taken from Aleppo's Syrian regime-controlled neighborhood of Karm al-Jabal shows heavily damaged buildings on July 30, 2015. (AFP/George Ourfalian)
 
Kuigawa Syria kwa sasa, haya ndio yanaweza yakatendeka, Assad atanufaika maana atabaki na sehemu inayomuunga mkono na pia kwa kukingiwa kifua na Urusi na Iran, hapo atakua ametulia.
Mgao wa pili utawaendea waasi na wapiganaji tofauti. Kwanza hapo Uturuki hatokubali maana ina maana wapiganaji wa kurdi watakua na nchi yao. Japo hapo Uturuki hatakua na sauti maana hawa Wakurdi wanaungwa mkono na Marekani na Urusi, ndio kundi linaloungwa mkono na hao wababe wawili kwa pamoja.

ISIL hapo wataumia maana kadiri wakurdi wa Syria wanavyozidi kunawiri ndivyo ISIL wanapigwa chini.

Kwa vyovyote vile, Syria tayari ishagawanywa mara mbili na hapo hamna jinsi wala namna, ndio njia ya pekee iliyobaki. Kuigawa vipande vipande na kila mmoja ake kwake, mabomu ya Marekani na Urusi hayajasaidia.
 
Nilikuwa naangalia habari leo mchana, na nikashangazwa sana na kauli ya Katibu wa Marekani Bwana John Kelly aliposema mazungumzo ya amani yasipofanikiwa Syria basi nchi wataigawa nusu kwa nusu.

Nimejiuliza maswali mengi sana na majibu yanakuja mengi sana kichwani.
Hivi kwanini mataifa makubwa yaamue maisha ya watu wa Syria na kutaka hadi kuigawa nchi yao?
Hivi hawaogopi kuitengeneza North Korea na Irani ya pili?
Kwasababu mwaka 1950-53 baada ya Marekani na washiriki wake kushindwa kuitawala Korea wakaamua kuigawa na wote matokeo tumeyaona.

Tena mwaka 1980-1988 Marekani na Sadam walivamia Iran lakini mwishowe badala ya kuizorotesha Iran: Iran ikawa na mabavu mara mbili ya ilivyokuwa.

Na baada ya kuondolewa vikwazo basi Irani itakuwa na mkono mrefu sana Mashariki ya kati na kwingineko.

Sasa Marekani haogopi kabisa juu ya kuifanya Syria iwe kichwa cha mwendawzimu baada ya kutangaza kutaka kuigawa?
Ni dhahiri kabisa Assad hawezi kukubali taifa lake ligawanywe na wapewe Magaidi ambao Marekani anawaita Moderates.

Hivi leo na Warusi, China na Iran waamue kuwapa silaha nyingi migambo wa Kurdish, Hezbollah and Hamas kuna kupona kweli kwa mataifa kama Uturuki, Saudi Arabia, Israel na Ulaya?

Sasa na wimbi hili la wakimbizi si kutakuwa na Migambo wengi sana kutoka Hezbollah, Kurdish militia, Syria na Iran.
Tanzania tumeshajinea madhara ya wimbi la wakimbizi na hili halihitaji kusemwa.

CC: Dotworld , kahtaan , Bukyanagandi , Elungata , Masunga Jr. , kui ,
so mkuu hezbollah wakipewa silaha ndo wataweza kuipiga uturuki?yaani unaandika kabisa kwamba uturuki israel na ulaya hawatapona,ulaya hii hii ya ufaransa,ujeruman na uingereza na wengineo? au kuna ulaya gani ulioimmanisha hapa mkuu?
 
Mkuu kwani kuna Ulaya mbili?
Kama ISIS ni kundi dogo limeweza kuivuruga Syria kwanini Hezbollah au Kurds washindwe Uturuki?
Kama HAMAS ni kundi dogo na bado linawasumbua Isreal kwanini Hezbollah au Kurds washindwe Uturuki na pengine?
Hiyo ni very simple logic kuelewa.
 
mkuu unaposema hamas anaisumbua israel c kwenye vita mkuu ni kwakuwa tu wanafanya mashambulizi tu ya kuvizia si kwamba hamas inaweza kusimama na kale kajeshi kake then wakaanzisha vita na israel waakshinda mkuu...watu hawakawiagi kuingia mitandaoni na kusema israel inaangamiza watu waio na hatia...sidhan kama ni sahihi kusema eti hamas wataishinda israel ikiibuka all out war kati ya israel na palestina
 
Kuigawa Syria kwa sasa, haya ndio yanaweza yakatendeka, Assad atanufaika maana atabaki na sehemu inayomuunga mkono na pia kwa kukingiwa kifua na Urusi na Iran, hapo atakua ametulia.
Mgao wa pili utawaendea waasi na wapiganaji tofauti. Kwanza hapo Uturuki hatokubali maana ina maana wapiganaji wa kurdi watakua na nchi yao. Japo hapo Uturuki hatakua na sauti maana hawa Wakurdi wanaungwa mkono na Marekani na Urusi, ndio kundi linaloungwa mkono na hao wababe wawili kwa pamoja.

ISIL hapo wataumia maana kadiri wakurdi wa Syria wanavyozidi kunawiri ndivyo ISIL wanapigwa chini.

Kwa vyovyote vile, Syria tayari ishagawanywa mara mbili na hapo hamna jinsi wala namna, ndio njia ya pekee iliyobaki. Kuigawa vipande vipande na kila mmoja ake kwake, mabomu ya Marekani na Urusi hayajasaidia.

Great observation MK254 ,
At least something sensible came out of you.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

At the end of the tether its Israel that will benefit the most,
Be it a Kurdish state; the Kurds are the friends to Israel and Americans. (It wont pose a problem to Tel Aviv)
Be it a Wahabi state; they are controlled by the Saudis. (It wont pose a problem to Tel Avid due to Americas Petro Dollar Politics).

But in a broad spectrum,
Assad and his half of her divided Syria will be safe,
Meanwhile Russia's influence in the middle east has grown significantly.
Her allies like Iran are getting tougher by the day as a result of Washington's Appeasement Policy.
 
mkuu unaposema hamas anaisumbua israel c kwenye vita mkuu ni kwakuwa tu wanafanya mashambulizi tu ya kuvizia si kwamba hamas inaweza kusimama na kale kajeshi kake then wakaanzisha vita na israel waakshinda mkuu...watu hawakawiagi kuingia mitandaoni na kusema israel inaangamiza watu waio na hatia...sidhan kama ni sahihi kusema eti hamas wataishinda israel ikiibuka all out war kati ya israel na palestina

Mkuu,
Swali langu ni dogo tu.
Kama ISIS limeiharibu SYRIA kwanini Kundi lingine lishindwe kufanya hivyo sehemu nyingine?

Kwenye Israel na Hamas,
Suala la Ukubwa wa jeshi in modern warfare is becoming less significant.
Hivi unakumbuka The Mujahedeen walimfanya nini Mrusi 1979-1988?
Je, Walikuwa na jeshi kubwa?
 
swala c ukubwa wajeshi,sawa jeshi la israel lina kama mtu laki 7,lakini pia liko modernized hamna namna ya kucompare kivyovyote vile na hamas,kuhus swala la syria kumbuka kuna isis unaowasema na nusra front..then kuna vikundi vingne zaidi hata ya hamsini vya waasi ndo mana mwanzoni jeshim la syria lilizidiwa,ils ksms kimtsxsmo wako unaona kuwa kwenye all out war hamas ita mshinda muisrael its okay maana hapa tunatoa tu mitazamo yetu mkuu nothing z certain ingawa tu mi kwangu hio kama haiji
 
All out war exists only in Conventional and Mobile Warfare,
And not in Asymmetrical Warfare.
Terrorists use asymmetrical warfare.
That's how wars are waged in the 21th Century.
 
All out war exists only in Conventional and Mobile Warfare,
And not in Asymmetrical Warfare.
Terrorists use asymmetrical warfare.
That's how wars are waged in the 21th Century.
sasa hapo huwez kufananisha kihivyo mkuu maana ukisema hivyo hata marekani france russia na uingereza walishawah shambuliwa na magaidi,kwa maana unayoleta wewe basi hakuna nchi yeyote duniani inayoweza kuwadefit makundi kama hamas coz wao kila ciku wana wage asymetric warfare
 
Good,
The point here is Europe being susceptible to more terrorist attacks.
 
Great observation MK254 ,
At least something sensible came out of you.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

At the end of the tether its Israel that will benefit the most,
Be it a Kurdish state; the Kurds are the friends to Israel and Americans. (It wont pose a problem to Tel Aviv)
Be it a Wahabi state; they are controlled by the Saudis. (It wont pose a problem to Tel Avid due to Americas Petro Dollar Politics).

But in a broad spectrum,
Assad and his half of her divided Syria will be safe,
Meanwhile Russia's influence in the middle east has grown significantly.
Her allies like Iran are getting tougher by the day as a result of Washington's Appeasement Policy.

Sensibility of my opinions is relative to your analytical ability and tolerance to divergent views.

Anyway, it's too soon for Kremlin to celebrate a geopolitical victory in Middle East against USA hegemony. I have this nagging feeling the Russians were lead into this trap, and it's obvious they can't sustain a prolonged bombing campaign.
The anti-American media frenzy seems to be urging them on and might lead into an "Afghanistan Déjà vu".
 
USA ni European state nje ya EU, wazungu wanajali asili yao sana, Russia anajitahidi kuhit hard Syria ana report ameuwa waasi wengi, but NATO na washirika wao wa kiaarabu wanampango wa kuhakikisha Russia yupo kwenye vita kwa Muda mrefu hii itakuwa hatari sana kwa Uchumi wa Urusi.. na Hapa NATO ndo watashinda.. ndio maana hakuharakisha No fly zone in Syria, badala yake wamemuachia Mrusi kucover cost na Iran kusimamia ground ops. kwa sababu jeshi la Syria lilikuwa limeshakuwa mahututi.
 
Mkuu kinacho nishagaza mimi hivi viongozi wote wa Ulaya hawaja shtukia mbinu hizi za Merikani za kutaka kuteka Mataifa ya Ulaya kiuchumi, Marekani inahofia sana ushirikiano wa kiuchumi wa nchi za Ulaya, Urusi na China utakao tokana na a reconnection across a new silk road - Marekani wanajua hilo likifanikiwa basi yenyewe haitakuwa na relevance yoyote kiuchumi barani Ulaya i.e itasahulika - hofu hiyo ndio imewafanya Merikani waje na mbinu za kuhujumu ushirikiana huo husiwepo kabisa,mbinu zenyewe ni ku Demonise Urusi na Putin kwamba Warusi wana mpango wa kuvamia mataifa ya Ulaya hivyo Taifa pekee linalo weza kizihakikishia usalama wao ni Merikani, lakini mwisho wa siku Mataifa yenyewe yamejikuta yanaitegemea Merikani karibu kwa kila kitu kuhanzia Uchumi, kijeshi na silaha - siku hizi Matsifa hayo ya Ulaya haziwezi kufanya mahamuzi magumu bila ya kuomba kibali kutoka Whitehouse!! Ndio zimekwisha angia kwenye mtego wa mamba itakuwa vigumu kujitoa, vita ikifumuka kati ya Merikani na Urusi nchi za Ulaya ndio zitakuwa za kwanza kuangamizwa.
 
Back
Top Bottom