MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,035
- 64,850
Nilikuwa naangalia habari leo mchana, na nikashangazwa sana na kauli ya Katibu wa Marekani Bwana John Kelly aliposema mazungumzo ya amani yasipofanikiwa Syria basi nchi wataigawa nusu kwa nusu.
Nimejiuliza maswali mengi sana na majibu yanakuja mengi sana kichwani.
Hivi kwanini mataifa makubwa yaamue maisha ya watu wa Syria na kutaka hadi kuigawa nchi yao?
Hivi hawaogopi kuitengeneza North Korea na Irani ya pili?
Kwasababu mwaka 1950-53 baada ya Marekani na washiriki wake kushindwa kuitawala Korea wakaamua kuigawa na wote matokeo tumeyaona.
Tena mwaka 1980-1988 Marekani na Sadam walivamia Iran lakini mwishowe badala ya kuizorotesha Iran: Iran ikawa na mabavu mara mbili ya ilivyokuwa.
Na baada ya kuondolewa vikwazo basi Irani itakuwa na mkono mrefu sana Mashariki ya kati na kwingineko.
Sasa Marekani haogopi kabisa juu ya kuifanya Syria iwe kichwa cha mwendawzimu baada ya kutangaza kutaka kuigawa?
Ni dhahiri kabisa Assad hawezi kukubali taifa lake ligawanywe na wapewe Magaidi ambao Marekani anawaita Moderates.
Hivi leo na Warusi, China na Iran waamue kuwapa silaha nyingi migambo wa Kurdish, Hezbollah and Hamas kuna kupona kweli kwa mataifa kama Uturuki, Saudi Arabia, Israel na Ulaya?
Sasa na wimbi hili la wakimbizi si kutakuwa na Migambo wengi sana kutoka Hezbollah, Kurdish militia, Syria na Iran.
Tanzania tumeshajinea madhara ya wimbi la wakimbizi na hili halihitaji kusemwa.
CC: Dotworld , kahtaan , Bukyanagandi , Elungata , Masunga Jr. , kui ,