Mkuu mtoto wa kiume akisoma na kufanikiwa kimaisha ana uwezo wa ku date visichana vidogo kwa sababu ana pesa . Lakini msichana kama hajasoma inabidi a date wazee wenye hela zao ili atoke kimaisha. Wote wana sababu tofauti za kwenda shule ili wafanikiwe kimaisha . Lengo ni moja kufanikiwa kimaisha.