Great Android 4.1 Smartphone, For Low Price!

People who don't want to believe something, they have enormous skills of ignoring it altogether!!! Look this kikaragosi! Wewe ndio wa kunifundisha mimi what is Android Os and what is not? Shwain mkubwa wewe na kisimu chako cha tochi

Nilijua tu... Niliiona ajali mapemaaaaaaa !!! Baiskeli imejigongesha kwenye garimoshi !
 
People who don't want to believe something, they have enormous skills of ignoring it altogether!!! Look this kikaragosi! Wewe ndio wa kunifundisha mimi what is Android Os and what is not? Shwain mkubwa wewe na kisimu chako cha tochi

Eh eh! Kimeshaumana tayari
 
Yaani nilitaka niulize hicho hicho. Basi hii itakua 'huu-haa'

Hii simu ni Huu-Haa! So far nimeuza kadhaa maofisini na wengine humu humu JF sera yangu ni kwamba nakupa simu unaijaribu ukiona haifiki matarajio yako Rudisha Simu nakupa mkwanja wako! So far sijapata malalamiko

The only complaints nimepata almost kwa kila simu niliyouza ni kuhusu headphone! I know the headphone sacks na huwa nawashauri wateja prior kwamba wasitarajie makubwa kwenye headphone ukiipenda shauri yako. Good thing ni kwamba inatumia 3.5 headphone jack ambazo zinapatikana posta original kwa bei ya elf 10 tu!

Kwa wapenda kuangalia Movie kwenye simu nakushauri u download MX Player kwenye android market (Play Store) ina great features za kufa mtu!
Audio kutana na kitu kinaitwa musiXmatch, free on Play Store great features kama vile sync lyrics, MusicID
Enjoy!
 
Acha kujifanya mjuaji wewe! Android ni OS (operating system) na wala sio Hardware, sasa wewe umeijuaje kwa kuona picha tu?

People who don't want to believe something, they have enormous skills of ignoring it altogether!!! Look this kikaragosi! Wewe ndio wa kunifundisha mimi what is Android Os and what is not? Shwain mkubwa wewe na kisimu chako cha tochi

Hahahahaa! Mambo ya beef tena!!! Mimi simo!!! Mimi nauza simu tu wakuu.....! Mkianza kurushiana ngumi nitawaripoti kwa mod!
 
Simu zimewasili................! Kwa walioko weka order na pia zipo extra! Kama hujafanya maamuzi na ungependa kuiona kwa walioko Dar tafadhali nipe location yako nitaileta Namba yangu iko hapo kwenye uzi!
 
mkuu digitali na wenye kuelewa,msinirushie mangumi,elimu yangu ndogo!mimi naomba uelewa tu,kama nilitaka kununua iPhone 4S je nitakuwa nimekosa nini nikichukua hii ya kwako,asante.
 
Mkuu kwanza uelewe mifumo zinazotumia hizi simu iphone wanatumia iphone os, hizi simu ninazo display hapa ni android,
Kwa sababu mimi natumia android nitasemea upande wangu
With an android phone hakuna utakachokosa apps are plenty on the market kuanzia apps za dini kama bible, sports, social, burudani music and movies yaani ni wewe tu
Off course iphone ni dunia nyingine na hilo linaendana na bei yake. Lakini unaweza pata almost the same utility with this phone for less
I invite you to try it and im sure you will love it
 
Mkuu Digitali heshima kwako,
Mkuu lakin siunajua maisha yalivyo siku hizi magumu! M nimeipenda sana hiyo simu ila nina laki 2 kamili so hebu nisaidie na Mungu atakubariki.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Digitali heshima kwako,
Mkuu lakin siunajua maisha yalivyo siku hizi magumu! M nimeipenda sana hiyo simu ila nina laki 2 kamili so hebu nisaidie na Mungu atakubariki.

Hii simu mpaka inafika tayari imeshazidi hiyo pesa unayonipa Aranblue! Tufanye hivi wacha nikutafutie imu nyingine ambayo utanipa laki 2.5 nipatie email yako nikutumie detail zote na picha kama ukiipenda nakuletea
Again naisitiza simu hiza hulazimishwi kununua kama nikiileta na hukuridhika nayo hakuna ugomvi kabisa nitarudi na simu yangu!
 
mi nataka order 1 ya hyo k2!+

ni p.m namb yako nikirudi hapo nnchini nikutafte!
 
Mkuu kwanza uelewe mifumo zinazotumia hizi simu iphone wanatumia iphone os, hizi simu ninazo display hapa ni android,
Kwa sababu mimi natumia android nitasemea upande wangu
With an android phone hakuna utakachokosa apps are plenty on the market kuanzia apps za dini kama bible, sports, social, burudani music and movies yaani ni wewe tu
Off course iphone ni dunia nyingine na hilo linaendana na bei yake. Lakini unaweza pata almost the same utility with this phone for less
I invite you to try it and im sure you will love it

Teh teh teh Mangi biasharani hehee hakuna mutu weza wewe.
 
Mkuu kwanza uelewe mifumo zinazotumia hizi simu iphone wanatumia iphone os, hizi simu ninazo display hapa ni android,
Kwa sababu mimi natumia android nitasemea upande wangu
With an android phone hakuna utakachokosa apps are plenty on the market kuanzia apps za dini kama bible, sports, social, burudani music and movies yaani ni wewe tu
Off course iphone ni dunia nyingine na hilo linaendana na bei yake. Lakini unaweza pata almost the same utility with this phone for less
I invite you to try it and im sure you will love it

Acha kudanganya wewe wa wapi, iphone like toy, android ndio dunia nyingine unapata kile unachokitaka uliza watu waliotumia simu zote Android ni mwisho wa matatizo yaani android unafanya kila kitu ambacho hauwezi kufanya na iphone.
 
Back
Top Bottom