Grayson ITV Saa 3 usiku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Grayson ITV Saa 3 usiku.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyakarungu, May 5, 2011.

 1. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  nimealikwa kushiriki mjadala wa wanaharakati, wenye mada isemayo;
  je, umasikini wa watanzania ni laana?
  MJADALA UTAANZA SAA TATU USIKU.
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tupe taarifa iliyokamilika ... NI LINI, yaani ni TAREHE GANI?
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  grayson ndio nan?
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Siyo laana ila ni kwa sababu ya adui CCM
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Laana??napata wasiwasi kidogo...udini lazima uingie hapa!!Mwalikeni MS nae kwenye mdahalo
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Umealikwa kama nani??
   
 7. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Azimio jipya, ni leo usiku huu kijana.


  sizinga, nimealikwa nikiwa kijana wa kitanzania au unamaanisha nini?!!! au kuna watu special wanaotakiwa kualikwa?
   
 8. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Huyo bwana naona kashindwa kujieleza na hajui ni kitu gani kinaenda kujadiliwa huko ITV...

  Ukweli ni kwamba ITV wamekirudisha kipindi maarufu sana kilichotamba miaka ya nyuma kiitwacho MALUMBANO YA HOJA ambacho kama ilivyokuwa zamani kitakuwa kikirushwa kila Alhamis saa 3:00 usiku....

  Na mada ya leo itakuwa ni: Je, umasikini wa watanzania ni laana?
   
 9. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  utamuona tu, usihofu siku utamtambua,wewe kaka/dada.
   
 10. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  lengo lilikuwa kuwatarifu watu mada ya leo,sio program ya tv, ila nashukuru kuwaelezea kwa undani.
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Yaani aliealikwa ni mwingine na ameshindwa kutushibisha maelezo, ila ambaye hajaalikwa huko mkuu Balantanda ndio nimemuelewa maelezo yake.
  My take: huyu ni afadhali hiyo safari ya kwenda huko studio aisitishe akanywe valeur tu. maana hakuna atakachochangia zaidi ya kutaka aonekane kwenye tv. kama ameshindwa kutuelewesha sisi kwa maandishi tu, je atakuwa na uwezo wa kuwin audience ya live coverage? nitakuwa wa mwisho kuamini.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ni kipindi cha Malumbano Ya Hoja saa tatu usiku ITV!
   
 13. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kwamba wadau hawajaielewa heading ya thread 'Grayson ITV Saa 3 usiku'......Hapo ndipo walitaka ufafanuzi zaidi
   
 14. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  hahahaaaaa,najua ukimwona anachuma sumu, mwache anywe kisha andaa kikombe cha maziwa utamsaidia tu.
   
 15. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  tumpe hoja-
  laana? ya nani? huyo aliyebuni heading %$%$^%%^ zake!!
  moja ya sababu ni serikali legelege ambayo haijui iko wapi na inataka kwenda wapi. mfano wa hili ni vipaumbele zaidi ya vitano vipya kila mwaka bila kutueleza vya mwaka vimefanikiwa kwa kiasi gani.
   
 16. M

  Mbwazoba Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi nimekuja kumpa points, nadhani ndio lengo lake pia, ukweli ni kwamba, nchi hii haina mwenyewe imejaa mijitu mirafi na miroho tu, yaani sijajua kama hakutakuwa na watangazaji wahuni ambao hawatawazuia watoa maada kupayuka mpaka kunyooke.

  na wewe MATOLA ni wa wapi mbona unaonekana kuwa na chuki hapa.... Unaanza za aakina ccm na cdm ee, kama mnajuana useme huo ni use...ge...unakusumbua tu. hatutaki wanafiki humu hebu tulifukuze humu eti matola....
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Jina lako ni MBWAZOBA sasa mimi hapo nitaangaika nini kukujibu kitu, tafuta mazoba wenzako, mimi si viwango nyako.
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  watu mnataka maada au mnataka kumuona mwingine kwa sura, tatizo la kunywa viroba na pilipili ndilo linalomsumbua wewe sizinga
   
Loading...