Graphics designers wanaoweza kufanya kazi online wanahitajika

Graphics designers wanaoweza kufanya kazi online wanahitajika

jamuhurijr

New Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Salaam,Cautious Concepts Limited Company inahusika na maswala ya graphics design na printing, kwa sasa wanasajili graphics designers kwenye system yao ambayo ipo online, kwenye system hiyo wateja watakua wanapost kazi zinazohitaji designing humo....so graphics designers wanahitajika wa aina zote kuanzia wa logos,posters,business cards, Banners...etc,..Kama wewe ni graphis designer unaeweza ufanya kazi online kwenye system na malipo yatakuwa online kwani kazi ikitumwa kwenye system itakua imeshalipiwa na client designer atakayefanya kazi atapata chance ya kuwa analipwa online...dhumuni la system hii ni kusaidia designers wawe wanafanya kazi online wakiwa nyumbani, au hata sehemu zao wanapofanyia kazi na malipo yote yatafanyika kwa mobile...na pia wateja watakua wanapata design zenye ubora wa hali ya juu since options zitakua ni nyingi kutoka kwa designers...Kama ni designer Wasiliana na mtu anaitwa David +255 717 685 776 kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom