Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,241
- 44,315
kende namba 4 imeandikwa kiufasaha cpu na gpu vinaonekana vizuri ungeandika laptop zote kwa mfumo huo ingekuwa rahisi sana kuzilinganisha.
Hio namba 4 inafit matumizi yako cpu yake ina nguvu na gpu sio mbaya sana. Ila sidhani kama utaipata kwa hio budget labda used
mkuu nimezitoa hizo details kwenye mtandao wa wauzaji DSM wameziorodhesha hivyo nyingine with less details, Asante kwa hilo chaguo lako nimejaribu kuligoogle nimeona maoni ya watu wengi wanaisifia
Usinunue laptop ambayo inasema tu i7 na nvidia bila kujua ni i7 ipi na nvidia ipi.
Unaweza uziwa i7 ya first generation ambayo inapitwa speed hadi na ipad
Tafadhali naomba kujua umuhimu wa kusoma graphics design kama short course . Hilo tu Asantekende namba 4 imeandikwa kiufasaha cpu na gpu vinaonekana vizuri ungeandika laptop zote kwa mfumo huo ingekuwa rahisi sana kuzilinganisha.
Hio namba 4 inafit matumizi yako cpu yake ina nguvu na gpu sio mbaya sana. Ila sidhani kama utaipata kwa hio budget labda used
pc yangu n duo core processor 2.8GHZ intel ,napenda kuanimate tatizo graphics card rendering inachukua mda mrefu kama haka KaAnimationclip ilichukua mda mrefu uwezi amini
nikibalisha nikaweka nvidia haitasaidia JZHOELO
Tafadhali naomba kujua umuhimu wa kusoma graphics design kama short course . Hilo tu Asante
Una malengo gani? Au unataka usome tu kujiendeleza mwenyewe bila kuwa na lengo lolote la baadae?
Ninachoamini mimi design ni kipaji ambacho mtu anacho, unaposoma graphics design inamaana unajifunza zile basics za software ili uweze kutumia kipaji chako kutengeneza kitu chenye maanA.
Ina umuhimu kuijua kwani utaitumia kwenye mambo mengi kuanzia maofisini kwenye presentation na graphs, kwenye social network kufanya personal design zako mwenyewe, kudesign websites, apps na program mbalimbali, vitambulisho, makadi ya harusi, business card na mambo mengi sana.
Asante sana kwa kunielewesha lengo langu ni kuwa na hiyo knowledge na kuiongeza hiyo knowledge through practice ili niitumie pale inapobidi naamini knowledge is power
mkuu nimezitoa hizo details kwenye mtandao wa wauzaji DSM wameziorodhesha hivyo nyingine with less details, Asante kwa hilo chaguo lako nimejaribu kuligoogle nimeona maoni ya watu wengi wanaisifia
ni mtandao upi huo mkuu? nahitaji laptop yenye nguvu kama zile ulizo orodhesha
ingia hii site www.jmartstore.net mkuu