Graphic designing kwa bei sahihi na kiwango cha hali ya juu

Graphic designing kwa bei sahihi na kiwango cha hali ya juu

TMAN8

Senior Member
Joined
May 25, 2012
Posts
165
Reaction score
41
Kwa mahitaji ya ku-design logo, banners (mabango), head letters, business cards, posters, fliers, screen-printing artworks, calenders, button badges, na kazi nyinginezo zihusianazo na graphic designing wasiliana nami. Capture.JPG donelogo1_vectorized.png
 

Attachments

  • 10364209_10152107088533597_3263080877789945964_n.jpg
    10364209_10152107088533597_3263080877789945964_n.jpg
    36.2 KB · Views: 122
kakomae na graphics kwanza uongeze maujuzi, naona bado kiwango kiko chini sana au weka picha za kutuconvice..hizo hapo juu ziko shallow mno
 
this is not my portfolio, u think u r not convinced, thtz great, it's ur views. so thanks dreson
 
Last edited by a moderator:
lol, mkuu unatakiwa uelewe kwanza idea yangu ilikuwa nini, sikuacha uchafu wowote hapo na sijawahi kuacha uchafu kwenye target yoyote ninapokua naondoa background, hiyo ni outer glow ya makusudi kabisa upande wake wa kushoto. unaposema sikuzi-merge vizuri, eleza how. mwisho wa siku ni jinsi vile mteja anavyotaka. elmagnifico
 
Heh heh heh JF kuna mambo wajuzi wengi,ngoja wengine tupitilize na viujuzi vyetu
 
Heh heh heh JF kuna mambo wajuzi wengi,ngoja wengine tupitilize na viujuzi vyetu
kuna watu wanajua kufanya kazi, na kuna watu wanajua kuongea, na kuna kuna watu hawajui hata wanachokiongea achilia mbali wanachokifanya.

993426_676936282319540_349005052_n.jpg
 
Back
Top Bottom