Graphic designer is here

karibu sana Jamvini,
Jisikie huru,Jukwaani zungumza,
Mikogo haitakiwi, michango changia
Karibu sana Jamvini, Great thinker Makini

Uwapo humu ndani, mausi kwetu Mwiko,
kwa michango yako utapongwezwa,
Kwa matusi yako utakula Ban,
Karibu Sana Jamvini, Gret thinker makini.

Heshimu member wezako, usiropoke tafadhali,
Kumbuka pia kwa makini, Mkono mtupu haulambwi,
Jf ni yetu sote, michango inapokelewa
Kuiendesha isonge mbele
Karibu sana Jamvini, Great thinker makini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom