kigogo1ivi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 539 Reaction score 343 Jun 12, 2016 #1 NATENGENEZA VITU VINGI SANA VINAVYO HUSIKA NA GRAPHIC DESIGN TWENDE PAMOJA NAIMANI UTANIELEWA.
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,240 Reaction score 7,095 Jun 14, 2016 #2 Naimani hakuna aliyekuelewa, unapost kitu utadhani unalipia hivyo gharama imekushinda na ukaamua kupost nusu habari! Weka sample, Toa Maelezo ya kutosha, weka mawasiliano, hujui hata namna ya Ku design tangazo hapa, unawezaje Ku design Graphics?
Naimani hakuna aliyekuelewa, unapost kitu utadhani unalipia hivyo gharama imekushinda na ukaamua kupost nusu habari! Weka sample, Toa Maelezo ya kutosha, weka mawasiliano, hujui hata namna ya Ku design tangazo hapa, unawezaje Ku design Graphics?