egentle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 808
- 389
Habari za mda huu, wanajamvi.
Tumeon graduates wengi waliokosa ajira kukimbilia kujiunga JKT au kutafuta nafasi kulitumikia Taifa katika Jeshi la Polisi.
Ningependa kujua kuhusu faida au nin kinafuat baada ya vijana hawa kupiga kozi ya U- Polisi huko moshi,
Yeyote mwenye taarifa zinahusu polisi na system yao, au ama vyeo naomba achangie tafadhari,
Maana kuna dogo wangu amechaguliwa huko so before kwenda nataka nimpe details za kutosha na mimi nijiaminishe juu ya hiko anachoenda kukipata,
KARIBUNI.