"Graduates" karibuni sana mtaani

Mtaani pagumu sana aisee! Yani nikijilinganisha na wenzangu walioishia form four wao wamepiga hatua kubwa sana!
Kingine na kikubwa ni kwamba CONNECTION ZIMEZIDI KWENYE AJIRA, mkombozi aliyebakia Kwa tusio na connection ni SEKRETARIETI YA AJIRA 'UTUMISHI '
 
Sekta binafsi ndio tiba
 
Nimechaguliwa
LAW Tumaini University Arusha
LAW Kampala International University
BAED St Augustine University Arusha

Tushauriane hapa sheria au chaki
 
Nime chaguliwa
LAW[emoji117] tumain university Arusha
LAW[emoji117] Kampala international university
BAED[emoji117] st augustine uni Arusha









[emoji855]tushauriane apa sheria au chaki
Bora sheria, ukimaliza nenda law school. Kama unataka kuwa maskini na kibaraka wa wanasiasa kasome elimu.
 
Huku kitaa maisha tough siyo simple simple kabisa wanaume feki wameshaolewa
...............Hatari sana man!!!mtaani show yake siyo ya kitoto watoto wanaleta masihara.

Kama kuna kijana yupo chuo anategemea atarudi mtaani akutane na utulivu wa maisha ajichunge sana coz kufikiri kwa kutumia kitabu ni rahisi sana kuliko kukitengeneza kile kilichoandikwa kwenye kitabu kiwe halisi halisia.

Utapagawa!
 
Nime chaguliwa
LAW[emoji117] tumain university Arusha
LAW[emoji117] Kampala international university
BAED[emoji117] st augustine uni Arusha









[emoji855]tushauriane apa sheria au chaki
Mambo hayatabiriki
 
Nafuu ukae nyumbani. Unapoteza muda na ada
Nime chaguliwa
LAW[emoji117] tumain university Arusha
LAW[emoji117] Kampala international university
BAED[emoji117] st augustine uni Arusha









[emoji855]tushauriane apa sheria au chaki
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenichekesha Sana aisee hata mm ilinikuta hyo hali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…