ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,850
Mlijipa vyeo...fedha hakuna!!!Siwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
Mkuu watu wakiwa chuoni wanaona Maisha ni rahisi na kila kitu kinawezekanaMlijipa vyeo...fedha hakuna!!!
hakuna tofauti na toi za kuchezea watoto...
Yaa ni kweli matumaini huwa makubwa but in reality unakutana na a stambling block na kama una roho ndogo hukuandaliwa ki saikolojia unaweza kuwa kichaa vijana wanatakiwa ku - calm down na kuondoa mindset za kuajiriwa.Mkuu watu wakiwa chuoni wanaona Maisha ni rahisi na kila kitu kinawezekana
wazee kama kawa mambo yakawaje sasaSiwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
Tulifeli asikwambie mtu maisha ni tofauti na pdf. You can imagine, hatuna hela ya mtaji. Hatuna experience hata kidogo. Brand name haifahamikiwazee kama kawa mambo yakawaje sasa
Kama ningepata nafasi ya kurudisha wakati nyuma for 5 years nisingekubali kuajiriwa saa hivi nimeajiriwa lakini naona sipigi hatua kabisa familia inakua na mahitaji yanazidi kuongezeka hela yote inaishia kwenye mahitaji ya kila siku nwenye mbinu za kujikwamua toka hapa anisaidie
Hiyo miti uliinunua mkoa upi ?Kwasasa nmenunua mashamba ya miti yenye ukubwa ekari 24 zenye umri tofauti,tofauti kati ya miaka 4 na 8. Ekari 1 naweza pata kiasi cha Tsh.Mil.5 hadi 7. Zidisha mara 24 utapata jibu la mapato tarajiwa. Karibuni tupande miti kibiashara.
Sema uzuri wa miti haiwezi kuungua na moto kabisa! Hongera bilionea wa baadaeKwasasa nmenunua mashamba ya miti yenye ukubwa ekari 24 zenye umri tofauti,tofauti kati ya miaka 4 na 8. Ekari 1 naweza pata kiasi cha Tsh.Mil.5 hadi 7. Zidisha mara 24 utapata jibu la mapato tarajiwa. Karibuni tupande miti kibiashara.
Kweli kila zama na mambo yake, zamani watu walikuwa wanalazimishwa kwenda majeshini sasa degree holder analipwa lakiMbona watu mkiambiwa ukweli mnawaka? Kuna watu wana degree ila ni walinzi na wanalipwa 100000 per month nyie kitaa mnapachukulia poa sana eti
Usiwatishe sana bwana, wengine tayari wakishavua lile joho ofisi ziko kibindoni zinawangojea.
Miti ina risk zake lakini ni asset nzuriSema uzuri wa miti haiwezi kuungua na moto kabisa! Hongera bilionea wa baadae
Pole mwamba, mimi nilikuwa na mawazo hayo, nami niliifungua kabisa na usajili nikapata ila uliza hata katiba yake kama ninayo. Life is full of surpriseTulifeli asee asikwambie mtu maisha ni tofauti na pdf. You can imagine, hatuna hela ya mtaji. Hatuna experience hata kidogo. Brand name haifahamiki