Hapa sasa umeongea.. kuna kazi ambazo nje ya ofisi hauajiriki hivyo,mtaa ni lazma uwe mgumu mara mbili na kingineUnataka usipate stress, baada ya kumaliza chuo? Basi andaa malengo yako even before hujachagua kozi ya kusomea!
Unajua Tanzania tuna changamoto nyingi sana, sio wabunifu, mitaji, masoko yote hayo yanatutatizaHapa sasa umeongea.. kuna kazi ambazo nje ya ofisi hauajiriki hivyo,mtaa ni lazma uwe mgumu mara mbili na kingine
Malengo yanatakiwa yaanze kabla ya kuchagua chuo na uhakikishe chuoni unaenda kuanzisha na si kula maisha... kwa kiasi fulani hii inasaidia maana hata ukitoka chuoni ni aidha una connections, biashara ama una pa kuanzia..
Malengo bila mitaji, au masoko pia background zetu hazitusapotiUnataka usipate stress, baada ya kumaliza chuo? Basi andaa malengo yako even before hujachagua kozi ya kusomea!
NGO'S NI hatua kubwa sana.Vijana mnasajili jina la bishara brela kwa 25000,mnatengeneza site kwa 75000,manjihusisha na biashara labda ya kuuza kuku wa nyama na ayai kwenye mahoteli.Mnaingia kazini kimya kimyaSiwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
NGO'S NI hatua kubwa sana.Vijana mnasajili jina la bishara brela kwa 25000,mnatengeneza site kwa 75000,manjihusisha na biashara labda ya kuuza kuku wa nyama na ayai kwenye mahoteli.Mnaingia kazini kimya kimya
Maisha yatakunyoosha tuKitaani pagumu ile mbaya halafu ukikaa mwanzoni utadharau sana kazi na utajiona professional ila kuna wakati utafika utabeba zege au kuuza mitumba na degree yako mkononi
Ni kipindi cha transition, simamia imani yako vilivyoMzee huu uzi kama umenilenga mimi hivi maana ulioyaongea ni mule mule
Serikali yenyewe hoi,mtakamatwa kulipa viparata mpaka basiWewe wadanganye wenzio tu, haina shida! Jiulize kuazia 2015 serikali haiajiri, fikiria kuna graduate wangapi!? Jiulize juu ya kampuni ngapi zilizocollapse
Wakuu nawasisitiza muwe positive jamani kila mtu ana njia yake ya kutoboa katika maisha.
Nimecheka sanaKwahiyo inabidi tukomae tusomee degree za ulinzi, inaonekana ajira zipo nje nje
You made my day brighterVijana ukweli ni kuwa soko la ajira ni gumu sana inabidi muwe tayari na kupitia kipindi kigumu. Mimi nakumbuka nilipata sehemu ya kujishikiza nalipwa elf 40 kwa wiki mwaka 2008 sasa fikiria nauli,kula,nilipie umeme na maji geto...halafu nyumba niliyokuwa nmepanga kuna panya wanakula mpk sox huachi chakula wasipite nacho.
Nilikuwa nanunua ile mikate mikubwa kubana matumizi ikabidi nifunge kamba ndani kama naanika nguo vile lkn natundika mkate ili panya wasiule. Leo hii mtu akiona tumetoka kimaisha anaona labda njia ilikuwa rahisi.
Muwe wavumilivu tu mambo yatajipa taratibu mpk itafika muda bank zinakufuata zenyewe zikukopeshe
Mkuu hebu nipe story, vipi mlifanikiwa kuiendeleza hiyo NGO's au ilifia njiani? Maana kuna yetu tumeanzisha ila sijui kama tutapiga hatu ukilinganisha na awamu iliyopo madarakani tuna loose hope kabisaSiwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
Sio rahisi mkuu, fikiria hatuna experience, hatuna connection, hatuna capital. But theoretically we were goodMkuu hebu nipe story, vipi mlifanikiwa kuiendeleza hiyo NGO's au ilifia njiani? Maana kuna yetu tumeanzisha ila sijui kama tutapiga hatu ukilinganisha na awamu iliyopo madarakani tuna loose hope kabisa