el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 488
- 570
Tell them!!Mbna watu mkiambiwa ukwel mnawaka? Kuna watu wana degree ila ni walinz na wanalipwa 100000 per month nyie kitaa mnapachukulia poa sana ety
At least you made my dayMbna watu mkiambiwa ukwel mnawaka? Kuna watu wana degree ila ni walinz na wanalipwa 100000 per month nyie kitaa mnapachukulia poa sana ety
Number lazima isomwe!!Mbna watu mkiambiwa ukwel mnawaka? Kuna watu wana degree ila ni walinz na wanalipwa 100000 per month nyie kitaa mnapachukulia poa sana ety
Kwahiyo inabidi tukomae tusomee degree za ulinzi, inaonekana ajira zipo nje njeMbna watu mkiambiwa ukwel mnawaka? Kuna watu wana degree ila ni walinz na wanalipwa 100000 per month nyie kitaa mnapachukulia poa sana eti
Sasa hivi una cheo gani?Siwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
Nilisota miaka matatu nikapata kazi, then after two years ndoto za maisha zikatimia, binafsi namshukuru MUNGUSasa hivi una cheo gani?
Yaani ni kipindi cha transition ambapo wapo watakaotoka lakini asilimia kubwa wataenda na majiSaafi wakaribie kwenye elimu ya kweli na uhakika
Sawa kaka ushauri konkiiVijana ukweli ni kuwa soko la ajira ni gumu sana inabidi muwe tayari na kupitia kipindi kigumu. Mimi nakumbuka nilipata sehemu ya kujishikiza nalipwa elf 40 kwa wiki mwaka 2008 sasa fikiria nauli,kula,nilipie umeme na maji geto...halafu nyumba niliyokuwa nmepanga kuna panya wanakula mpk sox huachi chakula wasipite nacho.
Nilikuwa nanunua ile mikate mikubwa kubana matumizi ikabidi nifunge kamba ndani kama naanika nguo vile lkn natundika mkate ili panya wasiule. Leo hii mtu akiona tumetoka kimaisha anaona labda njia ilikuwa rahisi.
Muwe wavumilivu tu mambo yatajipa taratibu mpk itafika muda bank zinakufuata zenyewe zikukopeshe
Ukweli lazima waambiwe hata kama ni mchungu. Watoto wa wanyonge ndo wataisoma vizuri.Be positive mkuu usitumie njia yako uliyo pitia kujudge njia za wengine kama wewe ume hustle kitaa ni wewe mkuu pambana na hali yako hahah
Ndio maisha yalivyo si lazima wote wataabike mtaani ila ikitokea lazima wajue kwenye maisha kuna milima na tambarare ila Mungu mkubwa atawavusha kwa wakati wake.Ukweli lazima waambiwe hata kama ni mchungu. Watoto wa wanyonge ndo wataisoma vizuri.
Hongera kwa kuyashinda magumu yote Mungu akuzidishie wepesiHili ulilosema nimelishuhudia baada ya kuhitimu,nilikaa benchi miaka mitatu na kuna watu walinambia ni michache nashukuru Mungu maisha yanaanza kuelekea pazuri sasa.Cha msingi ni kutafuta fursa(ya halali)na kuishughulia kwani hata mimi nilishawahi kufanya kazi ya elfu 5000 kwa siku.Wasikate tamaa na vishawishi vipo vingi mitaani.
Wewe mutoto ya chifu nini mkuu!Wakuu nawa sisitiza muwe positive jamani kila mtu ananjia yake ya kutoboa katika maisha...