St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,639
- 4,526
- Thread starter
- #21
Last edited by a moderator:
Mh,huu uwanja wa paka kwa paka.
Tuko pamoja mtani hapa nimekosa kishushio cha nyumbani tu lakini kuna kiUkrain kimoja kinasumbuasumbua hapa kinataka nirudi nacho nyumbani...
Mpaka sasa sielewi elewi, naona maono au naota?
@Nyaningabu Nkwingwa uliho
Hongera sana St. Paka Mweusi,
May your degree unlock many doors to well deserved success.
Naliho nkoi....ja mashiku?
hongera sana ila kaukraine hako ukalete tu but uwe commited manake usije ukamtelekeza kama yule aliyemtelekeza mjapani.
Mwalimu, niliwahi kushauriwa huko nyuma kuwa ukitaka kujenga familia imara basi tafuta msichana Kutoka wilaya ya Rombo mkoa wa kilimanjaro,na hiki ndio kikawa kisa cha mimi kuchelewa kufunga ndoa maana nilikuwa bado sijampata mdada wa kutoka Rombo,lakini sasa hivi...................
unanikoshaje unaponiita mwl? yaani nafurah kama mama aliyezaa mtoto anapokabidhiwa na nesi kichnga chake mkononi mara ya kwanza. hilo la binti wa rombo lol naogopa kuchakachua uzi ngoja nikae pembeni.
Congrats