lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
ungeandika vizuri ning'ekwambia ila sikwambii.
Graduate unaandika hivi?? Kwa uandishi huu ushafeli usaili.
Habari wana jf,
Mwenye taarifa juu ya usaili wa upolisi kwa upande wa graduate tunaomba atujuze kwamba ni lini wataita manake ishapita takriban miezi mitatu na bado tunaona kimya kimetanda.
ungeandika vizuri ning'ekwambia ila sikwambii.
we mwita unaona kiswahili chako ni sahihi hapo..??
Hv kumbe bado nmaupenda upolis? Mm nilidhan mnavyowasema kuwa wanamishahara midogo,polisccm , wauaji na nmatapeli nilijua hamuipend kwel?!.......... Wabongo bhana
Graduates hawako hivyo!! Huwez kuwa graduate
We fani yako kuchunga ng'ombe sio kuleta majungu,form 4 we
hahahaha...thread yako tu,inaonyesha kuwa co graduate...tumia kidogo elimu uliyonayo