lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari wana jf,
Mwenye taarifa juu ya usaili wa upolisi kwa upande wa graduate tunaomba atujuze kwamba ni lini wataita manake ishapita takriban miezi mitatu na bado tunaona kimya kimetanda.