Graduate programme banc abc

Ze Maza

Member
Nov 14, 2009
35
4
Wanahitajika waliomaliza au ambao wako mwaka wa mwishao kwenye fani zifuatazo
accounting
actuarial science
auditing
banking
business management
computer science/it
economics
engineering
finance
hr
industrial psychology
investment
law
marketing and communication
mathematics
risk management
statistics

application close date 30sept 2011,submit your CV and details to career.abctz@bancabc.com
 
Sngs

Senior Member
Jul 25, 2011
111
9
Namimi nashindwa kuelewa inamaana hapo hakuna haja ya kuandika application latter maaana kama maelezo yapo juujuu ila shukrani mkuu!!
 
Kidzude

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
4,427
1,356
Samahani mdau...mail zina-fail kwenda kwenye hiyo address (career.abctz@bancabc.com) tajwa hapo juu, kama unaweza tusaidia ku-verify hiyo address mkuu! natanguliza shukrani zangu.

Kama uko serious na kazi tafuta pamba zako za ukweli kamfuko kauhakika executive piga tai, ibuka pale mtafute HR with high confidence.
 
Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,069
1,199
Mkuu, mail zinagoma kwenda, tusaidie tuweze tuma, ya mungu mengi, huwezi juwa, weka ata website yao tuchek vzr, thnx mch!
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
49,295
69,557
Most of the time mails huwa ni feki, panda gari nenda kama uko mkoani tafuta mtu mfowadie kwene mail yake aprint akupelekee hata kama ni mimi waweza kuni-PM nikakusaidia, si ndio kusaidia kwenyewe huku? au tusaidiene sigara? au bangi? hapana, nitumie ntakusaidia kupeleka, nielekeze ofisi zao zilipo, ntaprint bure na nitakupelekea bure, kazi kwako but ukitegemea email utalosti, or else fungua website yao nenda kwene Icon ya contact then watumie, MUNGU awatangulie na kuwafanikisha ktk kila jambo jema kwenu
 
tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,856
1,103

wote tungekuwa na moyo kama wako hakika tungefika mbali,ubarikiwe
 
ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Kama uko serious na kazi tafuta pamba zako za ukweli kamfuko kauhakika executive piga tai, ibuka pale mtafute HR with high confidence.

Akhsante mwana-JF wa ukweli! acha tusake physical address yao
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,666
2,179
1[SUP]st[/SUP] Floor Barclays House,
Ohio Street
P.O. Box 31,
Dar es Salaam
Tanzania
Fax 255 22 2112402
Tel 255 22 2111990
255 22 2119517
255 22 2119302
 
Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,069
1,199
Most of the time mails huwa ni feki, panda gari nenda kama uko mkoani tafuta mtu mfowadie kwene mail yake aprint akupelekee hata kama ni mimi waweza kuni-PM nikakusaidia, si ndio kusaidia kwenyewe huku? au tusaidiene sigara? au bangi? hapana, nitumie ntakusaidia kupeleka, nielekeze ofisi zao zilipo, ntaprint bure na nitakupelekea bure, kazi kwako but ukitegemea email utalosti, or else fungua website yao nenda kwene Icon ya contact then watumie, MUNGU awatangulie na kuwafanikisha ktk kila jambo jema kwenu

kaka ths tyme niko mwanza b'se of msiba wa bro, but umenishangaza sn, katika watu elf 50 uko pekeyako! Nimewachek washkaj watanipelekea, ila thnx alot, mungu akulipe wema! Naomba nichek kwenye mail: geofreymayombo@yahoo.com au 0717496166! Undugu ndo uwa unaanza ivyo!
 
conversant

Member
Jul 12, 2011
60
7
Mkuu ni careers.abctz@bankabc.com na wanataka top class graduate kama unaweza chk dailynews la sept19 page 9 so kwa wale wanaohisi hv got good grades u can apply try that email niliyotoa huyo jamaa hapo juu ameikosea try kufuata instruction wanazotoa they knw wat they are doing na wamesema successfuly candidate will be contacted by 30th november na application close ni sept 30
 
SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
302
samahan wakuu...inahitajika CV peke yake au pamoja na application letter?...na Job tittle inaitwaje?
 
ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Mkuu ni careers.abctz@bankabc.com na wanataka top class graduate kama unaweza chk dailynews la sept19 page 9 so kwa wale wanaohisi hv got good grades u can apply try that email niliyotoa huyo jamaa hapo juu ameikosea try kufuata instruction wanazotoa they knw wat they are doing na wamesema successfuly candidate will be contacted by 30th november na application close ni sept 30
kaka does that mean tunatakiwa kutuma CV pamoja na vyeti.? au kwa wale ambao hatukubahatika kuliona hilo gazeti na hatuna namna ya kulipata...tafadhali tusaidie details za muhimu zilizowekwa.
 
valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,851
863
kaka ths tyme niko mwanza b'se of msiba wa bro, but umenishangaza sn, katika watu elf 50 uko pekeyako! Nimewachek washkaj watanipelekea, ila thnx alot, mungu akulipe wema! Naomba nichek kwenye mail: geofreymayombo@yahoo.com au 0717496166! Undugu ndo uwa unaanza ivyo!

umeona eh.huyu jamaa anaroho tofauti sana.na watu kama hawa,huwa wanabarikiwa katika kipimo cha kusukwa sukwa na kushindiliwa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom